INSHA huwa lazima kwa mtihani. Kitabu hiki kina mifano yote ya INSHA. Kila hoja ndani ya INSHA imepigiwa mistari. Kuna maswali ya marudio baada ya kila INSHA na majibu. Maudhui tumbi nzima ya MASUALA IBUKA yamepangwa kuanzia mwanzo hadi mwisho. Isotoshe, mwanafunzi ameelekezwa kuhusu makosa ya kuepuka katika INSHA.
Ni mwongozo wa aina yake wa tamthilia ya lazima kwa shule ya upili. Mbali na matini, kuna maswali na majibu. Maudhui yamewekewa maswali. Hoja zimefululizwa zaidi ya ishirini kwa maudhui. Sehemu muhimu zimepigiwa mistari
Huu ni mwongozo wa riwaya ya Nguu za Jadi. Kuna muhtasari, ufaafu wa anwani, dhamira, maudhui, sifa za wahusika na mbinu za lugha. Pia kuna maswali na majibu
Ni mkusanyiko wa maswali na majibu ya hadithi fupi inayotahiniwa katika shule ya upili. Pia kuna maelekezo kuhusu utaratibu wa kujibu maswali. Maswali mseto
These are systematically organized questions and answers from a compulsory Kiswahili play for high school. It's guides learners on how to present answers
A tactical teaching and revision book. Demonstrates methods of presenting answers using sampled questions from form 1 to 4. Errors in presenting Biology answers invalidates correct answers. This book is ideal for teachers and learners to escape the trap of failing exams despite having good answers.
Mkusanyiko wa mbinu 54 za lugha. Zote zimetolewa maelezo na mifano ya kudumu hata kwa mpito wa vitabu teule vya fasihi andishi. Muhimu kwa kuchambua na KUELEWA Tamthilia, Hadithi Fupi, Riwaya, Fasihi Simulizi na Ushairi