ENJOY FREE DELIVERY WITHIN NAIROBI FOR ORDERS ABOVE 8,000
HELP / SUPPORT

0794 233 261

Nuria Kenya
Nuria Kenya

Nuria Kenya

  • No ratings found yet!

Dau la Angelika

KShs1,250.00
Umetia doa taadhima na sifa njema ya Klabu Sambe na Jambe kwa kujifanya kinyaunyau wa kuwatia meno na kucha wateja mashuhuri Enhe! Mwadhamu Kimbaumbau, mwasisi wa Klabu Sambe na Jambe, sikusudii jeuri, lakini je, una binti kweli? Angenyanyaswa... By

Ukiwa

KShs1,032.00
Hii ni hadithi ya kisasa ya mapenzi. Kijana anayesomea Digrii kwenye chuo kikuu anapata simu kuwa mpenzi wake amekufa. Hapo anaanza kurudi nyuma na kutazama maisha yao yalivyokuwa na marehemu ili aweze kuivuja kasi huzuni aliyonayo. Hadithi hii... By

Mbaya Wetu

KShs910.00
Mbaya Wetu ni tamthilia ya kijamii inayoangazia kitashtiti suala la malezi. Tamthilia hii inamulikia kurunzi taasisi ya familia, vyombo vya dola na jamii kwa jumla na kufichua utepetevu katika utekelezaji wa majukumu ya kimsingi. Matokeo ya... By Ken Walibora

Nagona

KShs887.00
Nagona ni riwaya inayothibitisha upevu wafalsafa ya Kezilahabi kuhusu dhana ya maisha. Katika riwaya hii. maisha vanasawiriwa katika mtazamo wa dhihaka na kejeli. Ndiyo maana mwandishi anatega kitendawili kwamba waliobahatika kuishi, ...walikufa... By E. Kezilahabi

Shamba la Halaiki

KShs1,032.00
Shamba la Halaiki ni tamthilia inayomulika hall halisi ya uongozi katika jamii inayowashangilia na kuwakashifu viongozi kwa msingi wa kikabila. Wakazi wa Mabondeni katika Jimbo la Matengo wanakumbwa na mafuriko yenye maangamizi makubwa. Halaiki,... By Spotlight Publishers

Wasakatonge

KShs974.00
Wasakatonge ni diwani yake mpya yenye hazina ya mashairi yenye kubainisha sauti kali ya utetezi kwa wavujajasho wanaonyanyaswa, kuonewa, kudharauliwa na kunyonywa nguvu zao. Ni kauli inayobainisha uoza wa jamii na athari zake kwa wanyonge. Diwani... By Oxford

Kaza Macho

KShs916.00
Kau, Macho ni mkusanviko wa mashairi yanayoonyesha upeo wa juu wa kipawa elta utunzi alichonacho intunzi wa mashairi yaliyomo. Mashairi haya yametumia lugha ya kitamathali itakayomwaehia msomaji taathira ya kudumu kwa namna yanavyozigusa hisia... By Vide-Muwa

Narejea Nyumbani

KShs1,075.00
Mtindo wa uandishi katika nafsi ya kwanza unatilia uzito uhalisia wa riwaya ya Narejea Nyumbani. Hii ni hadithi ya kuzua mjadala kuhusiana na maisha ya mwandishi, hasa kutokana na mbinu rejeshi iliyotawala kisa chote. Ni hadithi inayomsukuma... By JKF

Musa na Rafiki wa Barua

KShs1,044.00
Ari ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibis Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hilo la msisimko. Kando na hayo, Kasali — mvulana mgeni —... By Barbara Kimenye

Kosa ni la Nani

KShs1,066.00
Rashid na Amina wanatengana. Licha ya utengano huu, Amina anajifungua mwana wa kiume. Sitirika. Naye Asmin ni mke wa mkwasi fulani ambaye ni mgumba.Ana hamu ya kupata mtoto. Anajaribu bahati yake nje ya ndoa ambapo anakutana na Rashid. Wanajaliwa... By JKF

Nyongo Mkalia Ini

KShs1,206.00
Nyongo Mkalia Ini ni riwaya ya kusisimua inayosimulia ukweli wa mambo katika ulimwengu huu wetu. Mwandishi amegusia nyanja mbalimbali za maisha, hivyo basi mashabiki wa mambo kadha na kadha watavutiwa na riwaya hii. Mapenzi ya mumo, siasa zi mumo,... By Oxford

Top Literature Series: Ridges across ...

KShs1,032.00
Going home to the hut whose door is unhinged, the wails of which tear into the weary day or night every time someone walks in or goes out. Going home to tell his mother that Nduku, the lovely pole that stood holding the hut of his manhood in... By Wambua wa Kawiwe

Mkuu: Hatima ya Kubuni

KShs991.00
Wanasayansi, wanaramani mabingwa wameshindwa kutambua kilipokuwa kijiji cha Kubuni na kukiweka Juu ya uso wa dunia. Kile wanachojua ni kuwa kijiji chenyewe kilikuwepo, ila sasa hakijulikani kitovu chake. Mzee Pepo tu ndiye aliyeshuhudia kijiji... By Hamad Simai

Chozi Langu (KLB)

KShs1,120.00
CHOZI LANGU ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB. Ni hadithi inayolenga wanafunzi wa shule za upili kwa minajili ya fasihi. Je, maisha ni machozi? Huanza kwa chozi? Lazima chozi liwe... By Hezron Mogambi

Kamwe si Mbali tena

KShs1,148.00
Tambo njoo unisaidie. Nimeshalishika lile jisamaki kubwa linaloogelea huru mawinguni bila ya kumeza ndoana ... Leo limemeza ndoana ... Njoo unisaidie kulivuta jisamaki hili ... Je, sikukwambia, Tambo, kwamba kamwe si mbali tena?” Katika riwaya... By Said A Mohamed
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account