Nuria Kenya
Nuria Kenya

Nuria Kenya

  • No ratings found yet!

Mbinu Za Kisasa Za Kufundishia Kiswahili

KShs488.00
Hakuna kitabu kimoja cha Kiswahili kinachoshughulikia mbinu na· mikakati ya kufundisha mada mbalimbali za lugha na fasihi. Mbinu za Kisasa za Kufundishia Kiswc/lh,ili ni ki,tabu kinachoshughulikia ufundishaji wa Kiswahili. Kitabu hiki kinabainisha na kufafanua mbinu ta kisasa za kufundishia mada kama: matamshi, sarufi, msamiati, ufahamu, insha na fasihi. Dhana muhimu katika ufundishaji wa lugha na fasihi zinafafanuliwa na kutolewa mifano mwafaka inayotokana na tajriba ndefu ya waandishi wa kitabu hiki katika ufundishaji wa Kiswahili. Kitabu hiki kitawafaa walimu wa shule za msingi, za upili na vyuo. Oaktari Paul M. Musau ni Mhadhiri Mkuu katika ldara ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Kenyatta. Amewahi kuwa Mwenyekiti wa ldara ya Kiswahili katika chuo hicho. Ana shahada za B.Ed. (Nairobi), M.A (Nairobi), na Ph.D (Bay-reuth, Ujerumani). Amewahi kufundisha katika Shule ya Sekondari ya St Charles Lwanga, Kitui na Chuo cha Walimu cha Thogoto. Leonard Chacha ni mhadhiri katika ldara ya Kiswahili na Lugha za Kiafrika, Chuo Kikuu cha Kenyatta. Amekuwa mwalimu wa Kiswahili katika shule za upili kwa muda mrefu. Ana shahada za Dip. Ed. _(Siriba), B.Ed. (Moi) na M.A. (Kenyatta).

Kamusi Ya Vitendawili na Mafumbo [App...

KShs695.00
Kamusi ya Vitendawili na Mafumbo ina lengo la kumwelimisha na kumkumbusha msomaji baadhi ya utajiri wa tamaduni zetu ambao mara kwa mara husahaulika.Kamusi hii ina manufaa kwa wanafunzi, walimu na yeyote yule anayetumia lugha ya Kiswahili.

Dira Ya Uandishi (Shule za Msingi) [A...

KShs638.00
Kuandika ni stadi muhimu katika maisha ya binadamu. Hii ni njia mojawapo anayotumia binadamu kuwasiliana na wenzake kwa insha. Ni kwa kutambua umuhimu huu, ndipo kitabu hiki Dira ya Uandishi wa Insha kwa shule za Msingi kinashughulikia kwa ufarisi masuala muhimu yanayohusiana na uandishi kama njia ya kuwasiliana. Dira ya Uandishi wa Insha kwa shule za msingi ni kurunzi inayomwongoza msomaji kupata njia no mwelekeo ufaao katika msingi wa uandishi. Kitabu hiki kinashughulikia utungaji wa sentensi, aya na insha kwa ukamilifu. Aidha, kimemwelekeza msomaji kuhusu uakifishaji no mwandiko bora. Aina zote za insha, sifa zake, miqno tele no mazoezi kemkemu yametolewa. Isitoshe, ili kumwandaa mtahiniwa kwa mtihani wa Kiswahili wa KCPE, mitihani vielelezo ya insha imetolewa.
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account