Uhuru wa Jelani

KShs330.00
Je, unafikiri Jelani alihitaji uhuru wa aina gani? Je, ni nini kilichokuwa kimemsababishia ukosefu wa uhuru? Atafanya nini ili aweze kuupata uhuru huo? Je, atafanya nini iwapo ataupata uhuru huo? n nUhuru wa Jelani ni novela iliyosukwa kwa mtindo wa kipekee. Mwandishi ameyaweka bayana masuala ya kitamaduni ambayo yanaweza kutinga maendeleo ya mtoto msichana katika jamii ya leo. Novela hii imetumia mbinu anuai za lugha zinazoifanya hadithi yenyewe kuvutia na kumpa msomaji hamu ya kuendelea kusoma. Novela hii imeangazia masuala mtambuko mbalimbali na kusawiri maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Daraja ya Awali ya Shule za Sekondari. n nKuhusu mwandishi n nWendo Nabea ni mtunzi wa tamthilia na bunilizi na kadhalika ni mhakiki wa fasihi. Ni mwelekezi, msahalishaji na mwamuzi katika Tamasha za Drama na Filamu na aidha Tamasha za Muziki za shule na vyuo nchini Kenya. Alipata shahada yake ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Nairobi aliposoma Kiswahili na Fasihi ya Kiingereza na ambapo pia alisomea Uzamili. Baadaye alijiunga na Chuo Kikuu cha Vienna, Austria, kwa masomo ya Uzamifu. Hivi leo ni Profesa katika Chuo Kikuu cha Laikipia nchini Kenya anapofundisha Fasihi na Mawasiliano. Wendo Nabea ni mwandishi wa tamthilia Insha ya Siri iliyochapishwa na Shirika Ia Uchapishaji Ia Oxford.

Twala Wapi Leo?

KShs330.00
Tumalize anashangazwa na hatua ya baba yake kuwapa kitu fulani, watu fulani, kila siku asubuhi anapoenda shuleni. Kitendo cha baba yake kinamtia mshawasha wa kutaka kujua ni kitu gani hicho wanachopewa watu wale. Juhudi zake za kutafuta maelezo kutoka kwa baba yake kuhusu kitu hicho na sababu ya yeye kukitoa kwa watu wale zinagonga mwamba. Kwa sababu hiyo, anaapa kufanya juu chini ill apate kujua kitu hicho, na sababu inayofanya watu wale wapewe kitu hicho. n nJe, Tumalize atapata kujua kitu hicho wanachopewa watu hao? Je, atafanya nini ili kubaini kitu hicho? Je, ni nini kitatokea atakapopata kugundua kitu chenyewe? n nTwala Wapi Leo? ni kisa cha kusisimua cha kiupelelezi. Kisa hiki kinaangazia masuala ya malezi, elimu, ufisadi, ujasiriamali miongoni mwa masuala mengine katika jamii. Kisa hiki kimesheheni mbinu na mitindo mbalimbali ambayo itamfaidi mwanafunzi katika kujenga ubunifu wake na vilevile lugha yake. n nKuhusu mwandishi n nShullam Nzioka ni mwandishi, mfasiri, msawidi na ashiki wa lugha ya Kiswahili. Ameandika kazi mbalimbali za fasihi, zikiwamo novela, hadithi fupi na hadithi za watoto. Kitabu chake, Mbona Hivi? kilishinda tuzo ya Jomo Kenyatta Prize for Literature kitengo cha kijana mnamo mwaka wa 2021. Baadhi ya kazi zake zilizowahi kuchapishwa ni pamoja na Si Kitu na Shani ya Saa (hadithi fupi) iliyo katika kitabu Utashi wa Dola. Mbali na hayo, amewahi kufanya kazi katika shirika la International Bible Students Association.

Swahili Readers: 7f – Msiba Wa ...

KShs285.00
Author: Pauline Kea ISBN: “9780195741995”

Swahili Readers: 7e – AH! Shang...

KShs285.00
Nanjira anajipata njiani tena,wakati huu kutoka mashambani kuelekea Nairobi. Ingawa kumbukumbu za maisha aliyoishi na wazazi wake zinamjia anapopata mjini Naivasha, ana raha ya kwenda kusomea Nairobi. Nani asingefurahia kusomea jijini? n nLakini kile ambacho Nanjira hajui ni kuwa shangazi yake, Mela, ana mpango tofauti. 'Ah! Shangazi Mela' ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambavyo vianaambatana na kozi ya kiswahili sanifu.

Swahili Readers: 7d – Atamlilia...

KShs285.00
'Atamlilia nani?' ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.
  • n
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo. methali, taharuki, tashibihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti na picha za rangi zenye kusisimua.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani, malezi, afya, hatari ya kupenda sana mtoto, ujana na matatizo yake, utajiri na matatizo yoke, madawa ya kulevya na matatizo yake, umuhimu wa teknolojia, habari na mawasiliano, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu, haki za watoto, haki za wanyama, ukuaji wa kijiji kuwa mji na matatizo yake, kuishi kwa utangamano na amani.
  • n
nMradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ua Kiswahili Sanifu.

Swahili Readers: 7c – Mashairi ...

KShs285.00
'Mashairi Bulbul' ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Mashairi yaliyobeba maudhui anuwai,
  • n
  • Ubunifu wa mtunzi kutupambia mashairi kwa methali, mafumbo, masimulizi, tashihisi, takriri, tashbihi na taswira ili kutufunza na kupitisha ujumbe wake,
  • n
  • Mitindo, bahari na aina mbalimbali za mashairi kama vile tathnia, tathlitha, tarbia, takhmisa, ukumi, ngonjera. utenzi, wimbo, ukaraguni, ukawafi, kikwamba na sakarani,
  • n
  • Uangaziaji wa masuala ibuka kama vile dawa za kulevya, teknolojia, uadilifu, ushauri na nasaha, utatuzi wa matatizo, ubingwa wa lugha, vichekesho na burudani,
  • n
  • Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
  • n

Swahili Readers: 7b – Mzizi wa ...

KShs285.00
Author: Said Mohamed ISBN: “9780195736526”

Swahili Readers: 7a – Nimlaumu ...

KShs285.00
'Nimlaumu nani?' ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo katika kusoma kwa wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: n
    n
  • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthilia.
  • n
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, majadiliano, uhalisia, maswali anuwai, mbinu rejeshi na sentensi fupifupi.
  • n
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya watoto wa mitaani au barabarani, kituo cha kuwalea na kuwarekebisha chokora, haki za watoto, umuhimu wa mtoto msichana katika jamii, kujitambua, kusaidiana, kushirikiana, kushauriana na maadili mema.
  • n

NPPE: RS.7M – The Flying Hippo

KShs315.00
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. n nThe storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.

NPPE: RS.7l – Thunderbolt!

NPPE: RS.7k – The Wrong Side

KShs270.00

NPPE: RS.7j – A Close Shave

NPPE: RS.7h – The Rescue

NPPE: RS.7g – The Girl with a V...

NPPE: RS.7f – The Ghost of Garb...

NPPE: RS.7e – Caught in the Middle

NPPE: RS.7d – The Childless Father

NPPE: RS.7c – I’ll be Bac...

NPPE: RS.7b – Live and on the Air

NPPE: RS.7a – Hooked!