Showing 1–20 of 161 results

Upotovu

KShs915.00
Upotovu ni tamthilia inayolenga katika kukosoa hali zetu. Tamthilia hii inatuchokoza tuyaafiki mambo mawili: La kwanza ni kwamba tukubali ya kuwa tumeteleza kisiasa na kiuchumi. Hali ambayo imetuzorotesha kimaadili. Jambo la pili ni kuwa tukubali... By kwamba tukubali ya kuwa tumeteleza kisiasa na kiuchumi. Hali ambayo imetuzorotesha kimaadili. Jambo la pili ni kuwa
tukubali kujirekebisha. Tamthilia hii inayo m

Watu wa Gehenna

KShs1,149.00
Watu wa Gehenna ni riwaya ya kimajaribio yenye muundo changamano iliyoandikwa kiginingi na ambayo mtindo unaotumika kuifinyanga unakiuka baadhi ya taratibu na uzoefu wa uandishi wa riwaya. Jambo hili linamtumbukiza msomaji ndani ya tufani... By

Kichocheo cha Fasihi Simulizi na andishi

KShs1,148.00
Kichocheo cha Fasihi: Simulizi na Andishi ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo mwepesi na rahisi kusomeka. Kitabu hiki kinachunguza vipengele vya kimsingi vya fasihi simulizi na fasihi andishi kwa undani unaopatikana kwa nadra sana katika vitabu... By

Majira ya Tufani

KShs1,247.00
Majira ya Tufani ni riwaya ya kitashititi inayotumia kinaya, vichekesho na mbinu nyingine anuwai kumulika jamii ya kisasa na changamoto zake. Mwandishi anasawiri uchangamano uliojengeka kutokana na mivutano ya makundi ya kijamii yenye imani na... By

Kivuli cha Ndoto

KShs904.00
Hii ni novela changa iliyoandikwa na Kenna Wasike na kuchapishwa na Oxford University Press, Nairobi. Hadithi hii ya Mhusika Kezi Pasuamende inaangazia hali inayompitikia mtu baada ya ndoto zake halisi kufa na kufukiwa katika kaburi la mapuuza.... By

Utoro

KShs1,064.00
Binadamu amejikuta katika mbio kuutapia ulimwengu ili kutimiza ndoto zake na maslahi yake ya kibinafsi. Nao wakati unapita na kumwacha binadamu na mtapio wake. Ndoto huotwa, lakini si ndoto zote zinazotimia. Binadamu akipanga, taratibu za maumbile... By Nao wakati unapita na kumwacha binadamu na mtapio wake. Ndoto huotwa, lakini si ndoto zote zinazotimia.
Binadamu akipanga, taratibu za maumbile zinapangua, akijenga, ulimwengu unabomoa.
Lakini yote haya mwanadamu huyasahau akabaki na pupa ya

Lulu ya Maisha

KShs916.00
Lulu ya Maisha ni hadithi kuhusu Sue anayepoteza wazee wake kwa ajili ya janga la ukimwi. Baadaye analazimika kuingilia maisha ya dhiki ya kujitafutia riziki ya kila siku kwa kuuza plastiki kuukuu. Ni katika hali hii ya hatihati anapokumbana na... By

Sanaa ya Umalenga

KShs954.00
Mpaka sasa somo la mashairi ni somo ambalo linaogopewa sana. Wanafunzi na hata walimu huwa hawapendelei kusoma au kufundisha mashairi. Sababu mojawapo ni kuwa waandishi wa mashairi daima huwa wanaandika mashairi yao kwa lugha ngumu ambayo wasomaji... By

Migogoro

KShs825.00
Migogoro ni tamthilia inayomulika jamii ya leo. Inabainisha migogoro iliyomo baina ya watoto na wazazi; wanaume na wanawake; walemavu na wasio walemavu; wenyeji na wageni; binadamu na mazingira. Migogoro hii inatishia kuivunja jamii na kusababisha... By wanaume na wanawake; walemavu na wasio walemavu; wenyeji na wageni; binadamu na mazingira.
Migogoro hii inatishia kuivunja jamii na kusababisha maangamizo. Wanawake wenye ujasiri
wanajitokeza na kuanzisha harakati za kuondoa umaskini, kutunz

Uhakiki wa Tamthilia: Historia na Mae...

KShs858.00
Tamthilia ya Kiswahili imekua na kuendelea kifasihi kwa mapana na marefu. Kitabu hiki kinashughulikia tamthilia ya Kiswahili - historia na maendeleo yake. Kwa kufanya hivyo, kitabu hiki kinaiweka tamthilia ya Kiswahili katika mkabala wake.... By Kiswahili - historia na maendeleo yake. Kwa kufanya hivyo, kitabu hiki kinaiweka tamthilia ya Kiswahili katika mkabala wake.
Mwandishi wa kitabu hiki anachambua tamthilia kama Uasi, Visiki, Wingu
Jeusi, Mashetani, Amezidi, na anadhihirisha kw