Atendaye Mema

KShs850.00
Atendaye Mema by David G.Maillu ...Punde to Mbolea akamwona nyoka. Akashtuka na kulia huku akijaribu kutoroka. Lakini hakuwa na nguvu za kutosha. Akamwambia nyoka, Nakuomba usiniue, mimi, ni maskini na yatima. Soma upate kujua yaliyompata kijana... By

Twiga alivyokosa Ufalme

KShs764.00
This is an anthology of seven short but interesting stories, the first one being a narrative of how giraffe missed Kingship. By

Mtoto wa Mfugaji

KShs979.00
Wazee waliokuwa wakicheza bao baada ya kula na kushiba walizungumzia habari za Zabibu, msichana aliyeishi nchi ya Kimelenge. Uzuri wa msichana huyo hauna mfanowe, si hapa kwetu wala kule kwao Kimelenge, alisema mzee mmoja. Inaelekea ni mzuri wa... By

Mlilwa Shujaa

KShs804.00
Mlilwa is a young man, and this is the third of his adventures, following Mlilwa and the Wonderful Bird and Mlilwa Looks for his Father. In this last episode Mlilwa shows himself to be a hero in his efforts to seek and find his father. But he... By

Isimujamii (focus)

KShs974.00
Isimujamii ni kitabu kinachoangazia maswala ya mahusiano yaliyopo baina ya lugha na jamii na vilevile jinsi jamii inavyotumia lugha. Mada za kitabu hiki zinahusu maelezo ya taaluma ya isimujamii, umuhimu wake na jinsi ambavyo masiala mbalimbali... By

Tumbili na Mkia wake 5E

KShs771.00
Dawa ya deni ni kapipa. Mtu anapotoa ahadi fulani kwa yeyote yule, hana budi kuitimiza. Kitabu hiki kinaeleza wazi janga lililompata `Mfalme fulani baada ya kutotimiza ahadi aliyoitoa kwa raia wake. Kitabu hiki kimekusudiwa kuwasisimua watoto,... By

Utenzi Haki za Watoto 5D

KShs841.00
Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo wa kishairi ili kujenga ustadi wa msomaji. Utenzi wa Haki za Watoto unaiarifu jamii kikamirifu kuhusu haki za watoto kwa ujumla. Lugha nyepesi na yenye mnato imetumika ili kumwezesha msomaji kuyaelewa yaliyomo... By

Dhibiti PTE Kiswahili

KShs1,560.00
Mastering PTE ni msururu mpya wa vitabu vya kiada unaokidhi kwa kina mahitaji ya silabasi ya Elimu ya Vyuo vya Ualimu wa Shule za Msingi (PTE). Kila kitabu katika msururu huu kimetungwa na waandishi mabingwa wenye tajriba katika nyanja zao.... By

Walk to Recovery

KShs916.00
Weaverbird Series aims at entertaining young readers with vivid, delightful stories. The stories in this series are well-written with characters that are amusing and true to life. Walk to Recovery is the story of a boy, Alex, who walks on a rotten... By

Visa vya Jumbe A

KShs707.00
Visa vya Jumbe ni mfululizo wa hadithi za maisha ya mvulana mdogo ambaye aliyeitwa Jumbe. Hizi ni hadithi za kupendeza. Zinazimulia habari za Jumbe tangu alipozaliwa hadi kufikia umri wa miaka miwili na nusu. Je, ni mambo gani yaliyompata? Ili... By

Heri Kujikwaa Mguu

KShs770.00
Heri Kujikwaa Mguu ni hadithi inayovutia na yenye mafunzo tele. Hadithi hii inaelezwa kwa nijia inayovutia na kumtamanisha msomaji. Jiunge naye Babu Maelezo ufurahie kisa chenyewe. By Phoenix

Siri ya baba yangu kitabu cha kwanza

KShs500.00 KShs400.00
Ni wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake akiufunga mlango wa chumba chake. Ni baba anayetekeleza mpango wa siri asiofaa kuujua Fadhili. Fadhili anaamua kukitegua kitendawili cha tukio hilo... By Yahya Mutuku

Jitu Latingisha Ardhi

KShs960.00
Onyango anapotelea msituni anapocheza na marafiki zake wanne katika kitongoji kimojawapo cha jiji la Nairobi. Msitu huo ni makao ya Chakaa-chakachaka, jitu lenye nywele kote mwilini, ambalo mlo wake linaloupenda zaidi ni watoto. Baada ya kupata... By Muthoni Muchemi