Azizi na mawe ya miujiza

KShs930.00
Azizi na Baba wanaona maajabu wanapotembelea duka la waganga. Mganga anafanya miujiza ambayo inabadili makaa kuwa mawe ya ajabu. Je, Azizi atatumia mbinu gani kupata mawe hayo? By Githinji

Baraka za mama

KShs1,061.00
Baraka za mamani riwaya inayoangazia maisha ya Baraka, Kijana anayeibukia katika familia maskini. Baraka anafiwa na wazazi wake na kuachwa chini ya malezi ya ami wake, Baguma.Jambo hili halileti heri yoyote katika maisha yake. Jua la maisha hata... By Tweyambe

Joto la Moyo

KShs930.00
Bwire anaishi na nyanya na babu zake ambao hawana bee wala tee ijapokuwa wao ni wazazi wa daktari mashuhuri jimboni. Licha ya changamoto chungu nzima, Bwire ana ndoto maishani. Amefua dafu katika mtihani wa taifa wa Darasa la Nane. Atatoa wapi... By Wafula

Shangazi Katili

KShs730.00
Makena anayoishi maisha ya mateso chini ya shangazi yake. Juhudi za majirani kumwokoa zinashindwa hasa kwa sababu Makena hajamini. Angamini yeye ni yatima baada ya kuwapoteza wazazi wote ajalini. Hadi siku anapokipata kipande cha barua kutoka kwa ba By Juhudi za majirani kumwokoa zinashindwa hasa kwa sababu Makena hajamini.
Angamini yeye ni yatima baada ya kuwapoteza wazazi wote ajalini.
Hadi siku anapokipata kipande cha barua kutoka kwa baba yake wakati anatua nguo za shangazi.
Soma

Imarisha Lugha: Bintu na Bintutu

KShs800.00
Bintu na Bintuntu ni hadithi inayozungumzia jinsi wanakijuwa Bintunke walivyosumbuliwa na majitu yaliyoishi kwenye msitu wa Bintudamu uliokuwa karibu na kiji hicho, Bwana Bintu anafunga safari hadi kijijini Bantu kupata ushauri wa kuyaangamiza majit By Bintunke walivyosumbuliwa na majitu yaliyoishi kwenye msitu wa Bintudamu
uliokuwa karibu na kiji hicho, Bwana Bintu anafunga safari hadi kijijini Bantu
kupata ushauri wa kuyaangamiza majitu hayo. Anapata siri kuu kuwa majitu hupenda uji moto

Moran Pearls: President’s Son

KShs1,003.00
‘Now that you are the President’s son, you are left with only one thing.’ ‘What is it?’ ‘The guts and aplomb that go into the President’s son!’ The two rogues would like to reap where they have not sown. Will Tabi impersonate the... By Koranteng

Musa Mpigakambi

KShs1,044.00
Musa na King Kong wanabaki bila mahali pa kulala baada ya ‘maonesho’ yao ya fataki kuteketeza kimakosa mabweni katika shule yao _ Mukibis Educational Institute for the Sons of African Gentlemen.Walioathiriwa na mkasa huo wanalazimika kupiga... By Barbara Kimenye

Sindi and Kindi See

KShs742.00
Sindi cannot see brother Kindi. They can only touch and feel one another. What will they see when their eyes open? By Nyambura Mpesha

Panda Ngazi: Kamba ya Karo

KShs707.00
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa... By Omusikoyo

Mcheshi 3a

KShs823.00
Mcheshi ni mkusanyo wa hadithi fupifupi za kusisimua. Kilahadithi inatoa funzo muhimu kwa wasomaji. Hadithi zilizomo ni: Malkia Mrembo Nyegere na Sungura Mjanja Mcheshi Majini Mbuyuni Sungura na Mtego Lulu By Ndalu

Panda Ngazi: Kuku anaandika

KShs707.00
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kKiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa... By Omusikoyo

Panda Ngazi: Mpira wa Fibi

KShs643.00
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kKiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa... By Omusikoyo

Panda Ngazi: Darasa letu

KShs643.00
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kKiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa... By Fahari

Panda Ngazi: Watu na kazi

KShs643.00
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kKiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa... By Omusikoyo

Panda Ngazi: Mavazi yangu

KShs643.00
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kKiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa... By Adhiambo