Hadithi za Mashairi 3 Kuku na Mwewe (...

KShs695.00
Kuku na Mweweni hadithi inayosimulia matatizo yaliyowakumba wanyama na jinsi walivyojaribu kuyatatua. Je, ni matatizo gani yaliyowapata wanyama hao? Je, walifanya nini kuyatatua? Je, mwisho wake ulikuwa nini? Somahadithi hii yakufurahishautambue. By Wamitila

Panda Ngazi: Ndege wetu

KShs643.00
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa... By Adhiambo

Naledi

KShs696.00
Nyumbani alikuwa na raha lakini shuleni alikuwa na matatizo. Unene wake wa kupindukia ulimpa Naledi taabu na kiburi chake kikazizidisha. Wanafunzi wenzake wengi walimkwepa na_ wachache waliomkaribia walifanya hivyo kwa nia ya kumchokoza.... By Nandwa

Sofia Mzimuni 4c

KShs696.00
Sofia na rafikiye wanaingia na kupotelea mzimuni ambamo kuna wanyama wakali, wendawazimu na watu wengine wabaya ambao wanaweza kumdhuru hasa msichana mdogo. Wasichana hao wawili wanatafutwa lakini hawaonekani. Je, itakuwaje? Sofia Mzimuni (Utamu... By Habwe

Msururu wa Mbayuwayu: Ipo siku

KShs830.00
Natija na faraja vyote hutoka mbali. Nikipiga darubini nyuma ninaona jinsi maisha yalivyonidunga miiba mikali kila sehemu ya mwili wangu. Zipo siku nilikuwa ninatumia mbalamwezi kutalii vitabu vyangu usiku baada ya kukosa mafuta taa. Mwangaza... By Dowa

Wanyamapori wa Afrika

KShs1,110.00
Kitabu hiki ni nyenzo muhimu cha kumwezesha mtumiaji kuimarisha ujuzi wake kuhusu wanyamapori wa Afrika. Sifa zake kuu zinajumuisha: 1. Ufafanuzi wa kina kuhusu wanyama 101 wanaoishi katika mazingira mbalimbali. 2. Picha za kumsaidia msomaji... By Obondo

Koko riko aokoa wenzake

KShs890.00
Mtangazaji wa redio anaonya mvua itakosekana na chakula kupunguka. Koko Riko anaanza kuweka chakula. Wanyama wanapuuza onyo la njaa. Wanaendelea kuburudika wakimcheka Koko Riko. Muda si muda, wanyama wanapatwa na njaa kali. Je, Koko Riko... By Muchemi

Mtawa Mweusi

KShs1,071.00
The Swahili translation of the 1968 play published in English as The Black Hermit. Should Remi, the first of his tribe to go to university, return to his people from the city? Should he return to Thoni, his brothers widow, whom he has had to marry... By Ngugi wa Thiong'o

Insha elekezi ya KCPE (Mentor)

KShs1,030.00
Insha elekezi ya KCPE, ni kitabu kilichoandikwa kwa utaalamu wa hali ya juu ili kumwezesha mwanafunzi kujitayarisha vilivyo kwa ajili ya mtihani wa kitaifa KCPE.  By

Imarisha Lugha: Rehema awanasa wezi

KShs800.00
Ni siku chache zimesalia shule ya msingi ya Darajani ifungwe. Walimu na wafanyakazi wote wana mkutano wa mwisho wa mwaka. Rehema kiranja mkuu anagundua kuwa wageni wanaofika shuleni si wageni wazuri. Wameingia maktabani na wanaendelea kuiba vitabu. By Yahya Mutuku

Imarisha Lugha: Hatima ya Musa

KShs800.00
Musa anadanganywa na marafiki yake dakta. Musa anaishi kupoteza karo ya shule kupitia mchezo wa kamari ila anazidi kuendelea Kuucheza. Hatimaye anakamatwa na polisi na kupelekwa kwenye kituo cha polisi. Je, hatima ya musa ni ipi? Soma hadithi hii... By Maina

Sungura Hakimu na hadithi nyingine

KShs730.00
Sungura ni mvivu na hataki kufanya kazi. Hata hivyo anatamani maisha ya raha mustarehe kama mfalme. Ni lazima atumie akili vizuri la sivyo atakufa njaa. Sungura Hakimu na hadithi nyingine ni hadithi ambayo imeandikwa kwa namna ya kupigiwa mfano.... By Yahya Mutuku

Imarisha Lugha: Dua ya faraja

KShs800.00
Dua ya Faraja ni hadithi inayozungumzia jinsi kilang mmoja, Gambo anavyojipata katika hall tatanishi Bandaue Gambo anafanikiwa kuikwepa mitego yote ya kimaisha na hatimaye anatimiza ndoto yake, Natasi yangu yanitatiza lakini mahitaji uanizidi. Sophy By Onura

Msururu wa Mbayuwayu: Zuhura na Zahara

KShs830.00
Zuhura na Zahara ni pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili. Wamelelewa kwa heshima na taadhima na wazazi wao lakini tabia zao hazilingani hata kidogo. Mwana wa mfalme aitwaye Chaka ni mgonjwa na hali yake ni mahututi. Ni lazima binti mmoja... By Yahya Mutuku

Msururu wa Makumba: Selidamu nyeupe

KShs830.00
Basi babu akaingia kwenye gajabu na kutoa bunduki moja. Kisha kwa ghafla akaona selidamu nyekundu moja iliyoingiwa na vimelea wa malaria. Babu akaruka akawafyatulia kemikali vimelea wa malaria. Vimelea wakapiga mayowe na kuanguka nje ya selidamu wak By Hamisi

Tausi na majuto katika kisa cha gaidi...

KShs830.00
Lii ni gaidi sugu anayelihangaisha taifa. Anawatekanyara vijana na kuwafunza jinsi ya kuua na kufanya vitendo vya ugaidi. Serikali imejaribu kumkomesha lakini imeshindwa. Nani ataweza kumkomesha? Soma hadithi ujionee jinsi kijana mmoja wa mitaani... By Chege

Kichaa cha Pesa

KShs725.00
Kila msomaji wa Taifa Leo bila ya shaka anamjua au amepata kumsikia Robert Muthusi. Yeye ni katika waandishi na wahariri mashuhuri wa gazeti hilo. Katika kitabu hiki Bob, kama rafiki zake wengi wanavyo mwita, anatusimulia vituko mbali mbali vya... By Muthusi

Marafiki wa Bena

KShs890.00
Bena ni mvulana mdogo anayependa wanyama wa nyumbani. Je, Bena anawalisha wanyama hao chakula gani? Mtoto wako ni wa kiwango gani cha usomaji? Tumia vigezo vifuatavyo kubainisha kiwango cha mtoto wako ili umpe vitabu mwafaka kulingana na uwezo... By Ndiwa