Tando la Tandabui

KShs759.00
Mwanamfalme akiwa mawindoni anakutana na Bintimfalme anayemshika mkono na kumpeleka kwa wazazi wake. Mwanamfalme anajipata akiogelea kwenye maji ya chumvi mbele ya wazazi wa Bintimfalme. Bintimfalme anamwomba Mwanamfalme akubali kuishi nao kwani... By Ali Attas

Masaibu ya Mosi na pili

KShs759.00
Mosi na Pili ni marafiki wa dhati. Urafiki wao unaanzia shuleni. Urafiki huo unakua wanapokumbana na visa mbalimbali wanapoenda kambi kwenye mbuga ya wanyama. Je, kwenye mbuga hiyo wanakumbana na nini? By Ali Attas

Hadithi za Sayari moja: Sasa naona mbali

KShs701.00
Wanafunzi wa darasa la pili wamepata nafasi ya kutembelea mbuga ya wanyama. Rei ana furaha kuu huku akiwaza kuhusu yote ambayo atajionea siku hiyo. Ungana naye Rei, dada yake Nishai na wanafunzi wengine wanapotembea kwenye mbuga ya Tsavo. By One Planet

Paka na Mwanamke I (Approved)

KShs770.00
Je, unajua jinsi paka alianza kuishi nyumbani? Hadithi hii ya paka na mwanamke inatusimulia namna paka alivyotoka msituni na kuanza kuishi nyumbani.Soma upate uhondo wake. By Phoenix