Safari ya Angani 1i

£7.50
Safari ya Angani 1i inazungumzia jinsi kobe alianguka kutoka mawinguni na kunguru hawakuweza kumuokoa. By Francis Atulo

Nani Mfalme? 5A

£8.65
Tai alichoshwa na ubabe wa simba Nguruma porini.Wanyama wanautukuza mngurumo wake unaowalinda dhidi ya wawindaji. Tai anahisi kuwa wanyama wengine inabidi watambue maono yake ni thabiti. Anaamua kupanga njama ili wanyama wamsusie Nguruma na... By Storymoja

Kula kwa Mheshimiwa

£9.52
Umesahau kuwa huu ndio muda wa kula kwa mheshimiwa? Kwani unadhani tukiwapa kura zetu watatufaa kivipi kwa miaka mitano ijayo? Wewe chukulia kuwa ni hongo au jina lolote, naamini kila anayetaka mazuri hana hudi kugharamika, Shamsa akaeleza Mdachi.... By Juma Namlola

Bahati ya Kezo na hadithi nyingine

£8.00
Licha ya kuzaliwa na kulelewa katika familia maskini, Kezo anaonyesha uaminifu katika zoezi analopewa na mfalme. Ni kutokana na uaminifu huu ndipo inapobainikiwa kuwa kumbe binadamu anaweza kuwa maskini wa pesa ila akajaaliwa utajiri wa moyo,... By Queenex

One Planet Pili na Pilipili

£7.07
Pili anaona mti wa pilipili shambani. Anachuna pilipili na kuila. Pilipili inamuasha mdomo. Pili atafanya nini mdomo upoe? By One Planet

One Planet Fumbo la Watamu

£7.89
Fumbo la Watamu ni hadithi ya kusisimua kuhusu Watamu. Mvuvi Bakari anaambatana na wanawe kwenda kupiga mbizi kwenye mapango ya Ufuo wa Watamu. Anakumbana na mnyama hatari wa baharini na kuhatarisha maisha ya wanawe. Je, ushauri aliopewa na Mzee... By One Planet

One Planet Kitendawili cha Nungunungu

£7.71
Adamu na Mwangavu wanatoka shuleni. Adamu anajikwaa kwenye kitu anachodhani ni jiwe. Anasimulia wazazi wake kisa hicho. Baba yake, Mganga Fadhili, anamwambia si jiwe bali ni nungunungu ambaye hapo awali alikuwa kijana mtundu. Je, binadamu anaweza... By One Planet

One Planet Kasimu na Tomi

£7.22
Rafiki wa Kasimu hawezi kuongea Lakini anasikia maneno. Kasimu anacheza naye, anampa chakula hata anamjengea nyumba. Je, ni rafiki gani huyu? By One Planet