Mabandia

KShs6,000.00
Mabandia ni tamthilia inayopiga kurunzi ubandia unaojificha na kujifichua kwa sura mbalimbali maishani. Maisha ni kama karata. Wahusika sita wanajitokeza katika maonyesho sita wakifululiza hadi barazani kucheza duru sita za mchezo maarufu wa Wahedi wa Sitini. Mchezo huu huchezwa hasa katika maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki. n nKupitia vitendawili vinavyoibuka katika maonyesho mbalimbali, mwandishi anagubika hoja kadhaa za ubandia. Hoja hizi zinalenga kutafakarisha jinsi ubandia huo unavyoathiri mitazamo ya binadamu katika nyanja mbalimbali za maisha. n nAli Attas ni mwandishi mtajika wa vitabu kadhaa vikiwemo kamusi, vitabu vya lugha na vilevile vya hadithi. Kama mhariri wa vitabu vya elimu, mtangazaji, mwandishi habari na mwalimu wa lugha na fasihi mwenye uzoefu mkubwa, amebugia tajriba pana na za kipekee katika ukumbi wa kukikuza Kiswahili.

Do or do

KShs6,500.00
Juma hawks groundnuts and sweets in the streets of Dandora to supplement his mother's income. His fortune however changes when he joins Dandora Stars, a local football team. It takes the coach's determination and Juma's intellect for the team to progress in the Under-17 Tournament. With setbacks such as poverty, betrayal and corruption, will Juma be able to achieve his dream of becoming a renowned footballer? n n'Do or do' is a story of teamwork, friendship, family and betrayal in the quest to achieve dreams. n nStarLit Readers is a series targeting lower secondary school students. The series is also recommended for other readers looking for entertaining modern stories told in a powerful and highly refreshing fashion. The readers in this series will certainly keep you turning the pages.

Pigo la Nafsi

KShs7,500.00
"Halima mwanangu, wakati mwingine nashindwa kuelewa dunia inaelekea wapi. Visa kama hivyo ni vingi tu katika maisha yetu siku hizi. Ajabu ni kuwa, licha ya madhalimu hao kufikishwa mbele ya sheria, wao hufanya hila wakajipa uhuru." Matumaini ya familia ya Halima yanafufuka pale anapopata ajira kama mjakazi. Kwake Halima, anaiona fursa hii kuwa muhimu zaidi katika kutimiza maazimio yake na ndoto zake maishani. Maisha yanamwia mazuri Dar es Salaam hadi siku moja ambapo mambo yanaharibika na kumtia wasiwasi kuhusu mipango yake na mchumba wake. Je, ni mambo gani yaliharibika, na nani kayaharibu? n n"Pigo la Nafsi" ni hadithi inayosimuliwa kwa upekee wa namna yake. Hadithi hii imejaa mafunzo yanayoakisi uhalisia wa maisha, katika dunia ya sasa.

The Weaver of Dreams

KShs6,000.00
G. Chocha lives a charmed life in peri-urban Maua, spending most of his time playing pool with his friends and occasionally engaging in small businesses. n nHowever, there is a problem. The girl he loves is in love with his best friend and this is threatening to destroy his world and his sanity until one day he gets the chance to travel and study abroad. His worldview changes dramatically as he embarks on an exciting yet perilous journey of self-discovery. What is more, he not only falls in love again but wins a jackpot that could transform his life upon his return to his home town. n n'The Weaver of Dreams' is a story of hope and victory over great odds. Young readers everywhere will love and easily identify with it.

The Man in Green Dungarees

KShs6,000.00
John Benjamin's life takes a turn for the worse after he fails to qualify for a place at the university. His high school girlfriend, Hilda, then deserts him; she has qualified to go to university. His fortunes are turned around when he nbefriends a stray dog.

Reversed Agenda

KShs6,000.00
Khumbilo, an editor at a publishing company, is tasked by his boss to scout for a cover model for a new book. He sets nout to find a girl he had met six months earlier at a friend's wedding. In his judgment, the girl (Komiwe) is the most ideal person to appear on the cover.

Heri Subira

KShs8,000.00
Sabra alihisi kwamba alikuwa ameuvuta uvumilivu wake ukafika mwisho. Alistahimili vya kutosha lakini ikawa nhali ya 'likikatwa kono linamea guu'. Je, mtu huhitajika kusubiri kiasi gani ili apate heri?