Showing 1–20 of 32 results

Ngiri Mganga by Emmanuel kariuki

KShs400.00 KShs250.00
This animal story for children looks at the different ways that animals feed in the Savanna. During the wildebeests migration, eating is hard work for some but a picnic for others. It is full of useful lessons in a humorous style.

Kinyonga by Binti Omar

KShs350.00 KShs300.00
Kinyonga alishangaa kuona upinde wa mvua ukiwa na rangi za kupendeza. Rafiki yake Mwewe, alikubali kumpeleka kwenye upinde, walipokuwa juu alifurahi sana mpaka akapoteza utulivu. Alishindwa kumshikilia Mwewe, akatumbukia kwenye upinde na kuanguka chini. Kitabu cha Kinyonga kina mafunzo mengi kwa watoto. Aidha kitaboresha usomaji na kumuwezesha msomaji kutambua majina ya baadhi ya wanyama, ndege na wadudu. Pia kinafunza kuhusu rangi za upinde.

The Real You by Angela Murenga (Swahi...

KShs1,300.00 KShs1,000.00
The Real You (Swahili Version) ni kitabu cha kufungua macho ambachi kinalenga kukuonyesha jinsi ya kufungamana na Mungu aliyeekuumba uwe na kusudi lake kwa maisha yako.

Learning Kiswahili Book by Wambui Kam...

KShs1,200.00 KShs1,000.00
This book is written for everyone, whether you're new to Swahili or already familiar with it. It's written in a clear and straightforward style, perfect for beginners. Whether you are planning to travel to a Swahili-speaking region, work with Swahili speakers, or simply have a love for languages, this book will guide you on your journey to mastering the language.

Mwana Mdogo Wa Mfalme / Le Petit Prin...

KShs1,790.00 KShs1,390.00
First Published in 1943, Le Petit Prince (The Little Prince) is a widely collected book and has been published in 190 languages. This is the only Swahili translation in the world and includes the original drawings by the author, Antoine de Saint-Exupéry. Swahili is the widest spoken African language with more than 300 million speakers worldwide. This is a valuable collector's item and a memorable gift to those who love Le Petit Prince.

Adhabu ya maisha by Elishaphan Wachir...

KShs500.00 KShs450.00
Mwaisambe anamtafuta mganga mashuhuri katika ulimwengu wake mgumu. Je, atampata? Soma upate kujua

Baragumu la Sarufi na ufahamu na ufup...

KShs800.00 KShs760.00
Baragumu ni kitabu cha marudio cha Kiswahili kwa wanafunzi wa shule za upili. Kina maswali ya kcse ya sarufi, ufahamu na ufupisho ya miaka iliyotangulia pamoja na majibu yake

Sauti ya Tumaini na Hadithi nyingine ...

KShs600.00 KShs460.00
Hii ni anthology yenye hadithi nyingi zenye mafunzo kemkem. Itawasaidia wanafunzi wa grade 7 kwenda juu

MIHIMILI YA Ushairi na Isimujamii For...

KShs800.00 KShs700.00
Kitabu hiki kitamfaa mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa kcse na pia wanafunzi wengine wa shule za upili na pengine vyuo

PEPONI by Abdulrazak Gurnah and Dr. I...

KShs2,000.00 KShs1,690.00
Swahili translation of the Nobel-prize winning author’s 1994 novel Paradise. Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla

Kicheko cha Dhiki

KShs650.00 KShs550.00
Kicheko cha Dhiki ni tamthilia ya uongozi. Inamulika hali halisi ya mataifa mengi ya kiafrika.

Say It In Swahili by Sharifa M.Zawawi

KShs1,590.00 KShs1,290.00
This book has been written to help English speakers find Swahili expressions equivalent and corresponding to their English counterparts. It is equally useful for Swahili speakers wishing to acquire some English expressions for immediate use. It is, therefore, more than a dictionary, it is user-friendly and, above all, lightweight and portable.
  • More than 1,700 up-to-date useful entries for all situations (restaurants, shopping, markets, hotels, travelling and many more…).
  • Every entry is numbered.
  • Lightweight and compact size.
  • Quick word substitution for all needs.

Safari ya Mauti

KShs1,000.00 KShs800.00
"Kupotea Njia, Kujua Njia: Safari ya Mauti Yenye Uchambuzi wa Kisasa!" Je, umewahi kujikuta ukisafiri katika njia usioijua? Kitabu hiki kinasimulia hadithi ya binadamu katika maisha yake yenye changamoto nyingi. Kutoka kwenye sura yake, maumbile, hadi hisia zake, riwaya hii inazingatia maudhui ya kisasa yanayowakumba watu leo kama vile Elimu, Ufisadi, Siasa, Dini, Tandavu, Teknolojia, na Mapenzi. Kwa ustadi wa kipekee, mwandishi Bw. Gitonga ameumba fasihi tamu iliyojaa utajiri wa tafiti. Kupitia maneno yake yenye mvuto na lugha iliyokochwa vizuri, kitabu hiki kimejaa mafunzo na ufahamu wa kina. Hivyo basi, njoo ujiunge na safari hii ya kusisimua kwenye baraste za maisha, ambapo kupotea kwako kutakuwa ndiyo mwanzo wa kugundua njia sahihi. Jifunze kutokana na uzoefu wa wahusika na pambana na changamoto za leo kwa hekima na maarifa. Usikose fursa ya kujipa kipindi cha kusisimua na kutafakari! Nunuani kitabu hiki katika maduka ya vitabu ili upate kugundua mengi zaidi kutoka kwenye Safari ya Mauti yenye kuleta nuru katika giza la maisha yetu.

Hatima Yangu by Matata Hassan

KShs850.00 KShs699.00
Hatima Yangu inamulika masuala muhimu yanayoikumba jamii ya sasa. Uhalisia wa riwaya hii unaifanya kua ya kipekee katika kuhamasisha jamii.

Tuzo za Usafi by Timothy Sumba

KShs330.00 KShs299.00
Tuzo za Usafi ni kitabu cha wanafunzi wa gredi za chini katika shule ya msingi. Kazi bunilizi hii inazingatia mahitaji yote ya mfumo mpya wa elimu (mtalaa wa umilisi) kama vile ujenzi wa masuala mtambuko. Utajiri mkubwa wa yaliyomo ni burudani katika lugha sanifu na msamiati teule ambao umeshiba mafunzo kemkemu ya maadili. Visa sisimuzi vimesukwa ili kumpa mtoto ilhamu ya kutaka kujua zaidi na kumjengea uraibu wa kusoma kwa ufasaha. Usafi wa mwili ni mazoea mazuri. Umuhimu wa usafi ni upi? Utaratibu wa usafi wa mwili ni upi? Vifaa gani hutumika kuusafisha mwili? Mwandishi wa kitabu hiki, Timothy Omusikoyo Sumba ni mtaalamu wa saikolojia na fasihi ya watoto. Ameandika vitabu chungu nzima ambavyo vimeidhinishwa na Taasisi ya Kukuza Mitaala ya Kenya (KICD) pamwe na Research Triangle International (RTI).

Mualkemia by Paulo Coelho and Ali Attas

KShs800.00 KShs690.00
Riwaya ya Mualkemia imechapishwa na Kampuni ya Uchapishaji ya Moran (E.A.), jijini Nairobi, Kenya katika mwaka wa 2022. Riwaya hii imetafsiriwa na Ali Attas. Mtafsiri huyu anaelezea kwa lugha ya Kiswahili falsafa ya mwandishi asilia, Paulo Coelho, kuhusu Kudura ya mtu ya Kibinafsi. Lengo kuu la kitabu hiki ni kumbainishia msomaji kwamba anaweza kuzitimiza ndoto na azma zake iwapo atatia moyo wake wote katika ndoto na azma husika. Mtafsiri, Ali Attas, amedumisha mtiririko wa hadithi na maudhui yake. Riwaya hii itawafaa zaidi wanafunzi wa lugha ya Kiswahili ambao wanaweza kuishughulikia katika fani ya tafsiri-linganishi

Pandashuka By Timothy O. Sumba

KShs649.00 KShs600.00
“Nikumbukapo mashaka tipitipi yaliyoizonga familia yetu naamini kuwa ulimwengu umefurika malimwengu ya kila nui ambayo hukingama mbele ya walimwengu maishani na kusababisha pandashuka. Kama barabara ndefu ilivyo safari ya Maisha haikosi mabonde, vilima, milima, tambarare na kona. Je. Ni gurufu gani isiyokuwa na gurufu? Kwa bahati njema mawimbi ya safari ngumu hayadumu maishani, huisha namna Maisha yenyewe yanavyoisha. Baadhi ya Pandashuka ni furaha na huzuni, raha karaha, vicheko na vilio, utajiri na umaskini, shibe na njaa, amani na vita, afya njema na maradhi, upendo na chuki n ahata shwari na shari namna wasemavyo wengine. Kimsingi, pandashuka hutusambazia ama utulivu au uchungu nzima unaozaa jakomoyo sufufu. Je, ni nani asiyejua kuwa painamapo ndipo painukapo?” "Ni riwaya ya kitawasifu inayomfahamisha msomaji kutalii katika usimulizi aula uliosukwa kwamba ni mlo wa kisanaa kwa kukolezwa mbinu kemkem za sanaa. Mwandishi aliyetopia na kugharika ukwasi wa lugha ameyatumia maneno ya kawaida namna isiyo ya kawaida ili kuukamilisha ubunifu usio na kifani. Mwandishi huyu mahiri amesimulia visa tele vinavyoingiliana na kuunda taswira halisi za pandashuka katika jamii..." Tahakiki ya Fatma Ali Mohamed(Zanzibar)

Tiffa Kibonge by Lizana Kafwa

KShs700.00 KShs600.00
Tiffa Kibonge is a plus size girl who meets a man with a complicated situation. The book is in swahili language.

Mwongozo wa Bembea ya Maisha by John ...

KShs450.00 KShs380.00
Madhumuni ya kuandika kitabu hiki ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Kitabu hiki kimeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya Kiswahili katika mtihani wa KCSE. Kitabu hiki kimejumuisha vipengele saba vya uhakiki wa fasihi andishi kama vile; Ploti ya tamthilia, dhamira ya mwandishi, mandhari na umuhimu wake, ufaafu wa anwani, maudhui, wahusika na uhusika na mbinu za lugha. Maswali ya udurusu pia yamejumuisha katika kila mwisho wa onyesho ambayo yatamsaidia mwanafunzi kujinoa na kujipima ratili uelewa wake wa ploti. Maswali ya kiwango cha kitaifa pia yamejumuisha pamoja na majibu yake. Masuala ibuka kama vile umuhimu wa wahusika, mbinu za kimtindo, aina za takriri, aina za taswira, na vipengele vingine.