Author: Nasra Omar Bwana
Ilustrator: Nathi Ngubane
ABCh Herufi za Kiswahili is a book designed to introduce children to the Swahili alphabet and words in a familiar, engaging, and memorable way. Each letter is associated with an object or animal easily identifiable in the African context. The book uses simple, captivating illustrations to engage children appropriately. It is suitable for native Swahili-speaking toddlers who are beginning to learn the alphabet and children of all ages who are learning Swahili.
Mwandishi: Nasra Omar Bwana
Mchoraji: Nathi Ngubane
ABCh Herufi za Kiswahili ni kitabu cha watoto kilichoundwa ili kuwafahamisha watoto alfabeti na maneno ya Kiswahili kwa njia inayovutia kwa kuhusisha kila herufi na kitu au mnyama anayetambulika kwa urahisi katika muktadha wa Kiafrika. Kitabu hiki kinatumia michoro ya kusisimua ili kuwavutia watoto. Hiki ni kitabu ambacho cha wafaa watoto wachanga waliolelewa wakizungumza Kiswahili kujifunza herufi na watoto wa rika zote wanaoanza kujifunza Kiswahili.
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.