Dau Lazama inatoa picha halisi ya mambo yanayoendelea katika jamii hususan katika bara la Afrika. Walalahoi katika taifa la Ngomeni wanapitia madhila yasiyo na kifani kutoka kwa walio na mamlaka ya dola.
Ni bayana kwamba uongozi katika taifa hili ni wa kiimla. Tembo anatumia mbinu kali kuwakaandamiza wapinzani wa sera zake. Vilevile pana asasi muhimu za jamii kama vile dini, zinazofaa kuyanyosha maadili katika jamii ila sivyo katika taifa la Ngomeni: Mchungaji Kombo anauunga mkono ukoloni mamboleo na kushirikiana nao.
Si hayo tu, siri kubwa inayozingira maisha ya kijana Bahati kuihusu usuli na hatima yake ya maisha inateka bakunja nadhari ya msomaji.
(Bei imejumuisha usafirishaji wa nakala, kenya)
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.