-13%
Mwangwi Wa Maisha; Anthology Of Swahili Poetry Book
KShs800.00 KShs700.00
Diwani ya mashairi katika lugha ya Kiswahili.
- Description
- Shipping
- Reviews (0)
- Vendor Info
- More Products
Description
Mwangwi Wa Maisha ni diwani ya mashairi iliyoandikwa na malenga chipukizi Bwana Edward Ombui Almaarufu Malenga Mdogo. Mashairi haya yamesukwa kwa ufundi wa hali ya juu yakirejelea bahari tofauti na mbinu mbalimbali za lugha na uandishi. Sitaki kusema sana kwani mengi utayagungua wewe mwenyewe.
Mwangwi Wa Maisha imeshughulikia maudhui mbalimbali kama vile:- siasa, dini, ulemavu, jinsia, uchumi, ulitima, uongozi, ukabila, mapenzi, mazingira, ndoa, elimu, utendakazi na mambo mengine mengi.
Be the first to review “Mwangwi Wa Maisha; Anthology Of Swahili Poetry Book”
Vendor Information
- Store Name: Edward Ombui Mogusu
- Vendor: Edward Ombui
- Address:
- No ratings found yet!
No product has been found!
Reviews
There are no reviews yet.