Baada ya kuchinjwa, matumbo hukaguliwa na iwapo hakuna ishara yoyote ya ugonjwa, sherehe hutangazwa kuwa njema. Iwapo kondoo atapatikana na ishara ya ugonjwa, hii ikiwa nadra kwa kuwa umakinifu uliwekwa unapochaguliwa, mwingine hutakaswa na kuchinjwa tena. Rafiki zake bwana harusi wanapopeana habari njema, wazazi na wale kina mama wa ubatizo hunyunyiza maziwa na pombe…
*
Riwaya hii ni ya kihistoria ya jamii ya Wanandi. Inamulika masuala ainati ya asili katika utamaduni na mila zao. Namna jamii ya Wanandi ilivyojisuka na kujitawala katika uongozi, imani na matumaini katika maisha yao na majukumu yao katika kujikidhia matakwa ya kimsingi katika maisha. Riwaya hii ni mfano bora wa kazi zinazosimulia utamaduni wa Mwafrika na mfumo wa kujikuza na mielekeo ya maisha.
QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.