Author:Â Clara Momanyi
ISBN:Â “9789914442878”
0794 233 261
KShs330.00
Kadiri anaingiwa na wasiwasi kutokana na mabadiliko katika tabia ya rafiki yake. Anashangaa anapomwona rafiki yake akitoweka kama moshi baada ya masomo ya kila siku kuisha. Kitendo cha rafiki yake kinamtia ari ya kutaka kufahamu ni kitu gani kinachomtoa mwenzake mbio. Juhudi zake za kutaka kujua anakoenda rafiki yake wakati wa mazoezi ya karate yanaambulia patupu. Kwa sababu hiyo, anaapa kufanya juu chini ili apate kujua kinachoendelea na sababu za rafiki yake kubadilika.
n
nJe, Kadiri atapata kujua kinachomfanya rafiki yake kubadilika? Je, atafanya nini ili kuweka wazi kinachoendelea? Je, ni nini kitatendeka atakapogundua kinachoendelea?
nSinema ya Karate ni kisa cha kiupelelezi. Kisa hiki kinaangazia masuala ya malezi, elimu, uhifadhi wa mazingira miongoni mwa masuala mengine katika jamii. Kisa hiki kimesheheni mbinu na mitindo mbalimbali ambayo itamfaidi mwanafunzi katika kujenga lugha na ubunifu wake.
Author:Â Clara Momanyi
ISBN:Â “9789914442878”
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.
nThe storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.
The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.
Is there really a ghost haunting Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen? Moses, his friend King Kong, and the rest of the gang in Dormitory 3 don't believe in ghosts. That is, they are pretty sure they don't. But then who, or what, is the weird white figure flitting about the school compound at night? Where did the mysterious bloodstains come from? And who was responsible for the sinister laughter outside Miss Namukasa's door?
The deputy headmaster, Mr Karanja, believes he has the answer to all these questions: it's Dorm 3 trying to be funny. So HM and KK, together with Rukia, Itchy Fingers and the rest, set out to grab the ghost before it gets them all expelled.
This is the sixth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account