Author:Â Wendo Nabea
ISBN:Â “9789914442861”
0794 233 261
KShs330.00
Je, unafikiri Jelani alihitaji uhuru wa aina gani? Je, ni nini kilichokuwa kimemsababishia ukosefu wa uhuru? Atafanya nini ili aweze kuupata uhuru huo? Je, atafanya nini iwapo ataupata uhuru huo?
n
nUhuru wa Jelani ni novela iliyosukwa kwa mtindo wa kipekee. Mwandishi ameyaweka bayana masuala ya kitamaduni ambayo yanaweza kutinga maendeleo ya mtoto msichana katika jamii ya leo. Novela hii imetumia mbinu anuai za lugha zinazoifanya hadithi yenyewe kuvutia na kumpa msomaji hamu ya kuendelea kusoma. Novela hii imeangazia masuala mtambuko mbalimbali na kusawiri maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Daraja ya Awali ya Shule za Sekondari.
n
nKuhusu mwandishi
n
nWendo Nabea ni mtunzi wa tamthilia na bunilizi na kadhalika ni mhakiki wa fasihi. Ni mwelekezi, msahalishaji na mwamuzi katika Tamasha za Drama na Filamu na aidha Tamasha za Muziki za shule na vyuo nchini Kenya. Alipata shahada yake ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Nairobi aliposoma Kiswahili na Fasihi ya Kiingereza na ambapo pia alisomea Uzamili. Baadaye alijiunga na Chuo Kikuu cha Vienna, Austria, kwa masomo ya Uzamifu. Hivi leo ni Profesa katika Chuo Kikuu cha Laikipia nchini Kenya anapofundisha Fasihi na Mawasiliano. Wendo Nabea ni mwandishi wa tamthilia Insha ya Siri iliyochapishwa na Shirika Ia Uchapishaji Ia Oxford.
Author:Â Wendo Nabea
ISBN:Â “9789914442861”
ALIVE: A New Christian Religious Education Course is a new series that comprehensively addresses the objectives and requirements of the Christian Religious Education (CRE) Syllabus for secondary schools.
nDeveloped by a team of subject experts and experienced teachers, this innovative series combines knowledge acquisition with fun elements and real-life occurrences to deliver an exciting top-notch learning experience.
nThis series aims at moulding learners into role models in society by instilling positive behavioural change. It also helps them to develop a good attitude and life skills that will enable them to effectively deal with emerging issues.
nThe Student's Book for Form 1 is skilfully written to enhance the learners' understanding of the main concepts of the CRE course. It also guides the learners on how to incorporate the concepts and lessons learnt in their daily lives. This coursebook is furnished with numerous illustrations, various assessment exercises, case studies and a glossary of new terms.
This coursebook also provides a modular activity that not only focuses on the overall theme of the course, but also on student leadership, an aspect that is of great importance to students. The activity presents modules that are easy to adopt and apply in the school set-up.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account