Author: Elvera Shabiha
ISBN: “9780195739848”
0794 233 261
KShs255.00
“Sina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni,” ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhusu sifa zao? Je, wanaamini kuwa wana umuhimu gani kwa binadamu? Je, wanyama hawa wana malalamishi yapi kuhusu jinsi binadamu wanavyowachukulia?
nKitabu hiki chenye mashairi ya kupendeza kinalenga kuwasaidia wanafunzi kutambua sifa na umuhimu wa wanyama mbalimbali. Kadhalika kitabu hiki kitawafunza wanafunzi kusoma na kufurahia ushairi.
nMashairi ya Wanyama ni mojawapo ya vitabu katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na Kozi ya Kiswahili Sanifu.
Author: Elvera Shabiha
ISBN: “9780195739848”
The day King Kong and I were kidnapped started off like any other Saturday."
So writes Moses, Uganda's most notorious schoolboy, at the start of his yet another wild adventure.
The deputy headmaster, Mr Karanja, has decided that the two friends must have their hair cut. They spend a pleasant morning in town, enjoying the freedom from Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen - until a sleek Mercedes Benz appears and their 'holiday' comes to an abrupt end. Their hairstyle thrusts them deep into the criminal underworld and they only escape being sold into slavery by the skin of their teeth.
This is the fourth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account