Hiki ni kitabu cha aina yake!
Kitovu Cha Isimujamii kimefafanua mada zote za Isimujamii Kwa kina.
Kimezingatia mahitaji ya utahini wa kisasa ya KNEC.
Kina maswali pamoja na majibu
Huu ni msururu wa marudio ya kipekee.
Kitabu hiki kina maswali ya kujadili, dondoo na kimtindo kwenye Kila Hadithi. Maswali na Majibu yote yamezingatia mahitaji ya kisasa ya KNEC.
Kimeandikwa na Nyamboki Felly ambaye ni mtahini ka KCSE102/3
MWONGOZO HUU UNA LENGO LA KUMWEZESHA MWANAFUNZI NA MWALIMU KUIELEWA TAMTHILIA YA BEMBEA YA MAISHA. UMESHUGHULIKIA MASWALI YA KUJADILI, MBINU,WAHUSIKA, DONDOO NA KIMTINDO