Author:
ISBN: “9789914444254”
0794 233 261
KShs600.00
Nuria Ranking: #1 in Teachers GuideMwongozo wa Mwalimu
n
nGredi ya 2
n
nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vitakusaidia kumwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kama ilivyopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.
n
nVitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatawachangamsha wanafunzi wako na kuwapa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko.
n
nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kukuwezesha kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:
n
n
n
n
n
n
n
nKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2 pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo yatakufaa sana ili kuwawezesha wanafunzi kufaulu katika Mtaala wa Umilisi.
n
nOxford, mshirika wako katika ufanisi!
Author:
ISBN: “9789914444254”
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.
nThe storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
nSoma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:
nSoma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi.
ALIVE: A New Christian Religious Education Course is a new series that comprehensively addresses the objectives and requirements of the Christian Religious Education (CRE) Syllabus for secondary schools.
nDeveloped by a team of subject experts and experienced teachers, this innovative series combines knowledge acquisition with fun elements and real-life occurrences to deliver an exciting top-notch learning experience.
nThis series aims at moulding learners into role models in society by instilling positive behavioural change. It also helps them to develop a good attitude and life skills that will enable them to effectively deal with emerging issues.
nThe Student's Book for Form 1 is skilfully written to enhance the learners' understanding of the main concepts of the CRE course. It also guides the learners on how to incorporate the concepts and lessons learnt in their daily lives. This coursebook is furnished with numerous illustrations, various assessment exercises, case studies and a glossary of new terms.
This coursebook also provides a modular activity that not only focuses on the overall theme of the course, but also on student leadership, an aspect that is of great importance to students. The activity presents modules that are easy to adopt and apply in the school set-up.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account