Author:Â Sofokile
ISBN:Â “9780195721669”
0794 233 261
KShs460.00
Nuria Ranking: #2 in Secondary (8-4-4)Mchezo huu ni tafsiri ya mmojawapo wa michezo ya misiba iliyo mashuhuri iliyotungwa na yule mwandishi wa Kigiriki, Sofokile, kiasi cha miaka 420 kabla ya Kristo. Unatuwekea mbele yetu hadithi nzuri mno ya mfalme ambaye, pamoja na kuwa na moyo laini, ana ndweo ya kiburi cha kuzawa nacho. Kiburi hicho ndicho kinachompeleka kwenye kifo kiovu baada ya kumuua babake na kumuoa mamake bila ya kujua.
n
nKatika tafsiri hii iliyofanywa kutokana na nakala kadha wa kadha za Kiingereza, Samuel Mushi ameuhifadhi ule moyo na tabia ya ushairi asilia wa Kigiriki na papo hapo akashikamana na mwendo wa ushairi wa Kiswahili kwa kadri inavyowezekana. Katika utangulizi wake anakokoteza kwamba ingawa mchezo huu ulitungwa kwa mujibu wa utamaduni wa Kigiriki wa kale, wahusika wake na hisia zao ni za kiulimwengu mzima na, kwa hivyo, mchezo wenyewe unaweza kuchezwa katika mazingira ya Kiafrika.
Author:Â Sofokile
ISBN:Â “9780195721669”
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.
nThe storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.
ALIVE: A New Christian Religious Education Course is a new series that comprehensively addresses the objectives and requirements of the Christian Religious Education (CRE) Syllabus for secondary schools.
nDeveloped by a team of subject experts and experienced teachers, this innovative series combines knowledge acquisition with fun elements and real-life occurrences to deliver an exciting top-notch learning experience.
nThis series aims at moulding learners into role models in society by instilling positive behavioural change. It also helps them to develop a good attitude and life skills that will enable them to effectively deal with emerging issues.
nThe Student's Book for Form 1 is skilfully written to enhance the learners' understanding of the main concepts of the CRE course. It also guides the learners on how to incorporate the concepts and lessons learnt in their daily lives. This coursebook is furnished with numerous illustrations, various assessment exercises, case studies and a glossary of new terms.
This coursebook also provides a modular activity that not only focuses on the overall theme of the course, but also on student leadership, an aspect that is of great importance to students. The activity presents modules that are easy to adopt and apply in the school set-up.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account