Author:Â Oxford
ISBN:Â “9780195745672”
0794 233 261
KShs205.00
Sikukuu Nzuri ni hadithi inayoangazia msamiati wa vyakula. Lola na wenzake wanajadili kuhusu chakula ambacho wangependa kula siku ya sikukuu. Je, watachagua vyakula gani?
n
nSoma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.
Author:Â Oxford
ISBN:Â “9780195745672”
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.
nThe storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account