Benardette Kamau

Benardette Kamau

  • No ratings found yet!

Maarifa kupitia Alfabeti

KShs750.00 KShs700.00
  • Hiki ni kitabu cha ushauri na unasihi. kila herufi ya alfabeti ina ujumbe wa kipekee wa kukupa wewe motisha maishani. Herufi zote za alfabeti zimeangaziwa...A-Z kila herufi ikitoa uelekezi wake. Zipe herufi hizi nafasi ya kukuelekeza, kukujenga, kukuinua na kukupa maarifa ambayo ni dira yako maishani.

Nguvu za Herufi ‘J’

KShs750.00 KShs700.00
  • iHiki ni kitabu cha nasaha na uelekezi. Kinahusu masuala ya maisha yako yanayoelezwa na maneno yanayoanza kwa herufi 'j'. Ni kauli za kukushajiisha na kukusaidia kushika usukani wa maisha yako. Baadhi ya kauli zilizomo ni kama; Jijue/Jielewe, Jithamini, Jikosoe, Jisamehe, Jipende, Jiwekee mipaka, Jitambilishe upya na Jishinde ili ushinde. kauli 22 zimejadiliwa.

Mandhari ya Nguu za Jadi

KShs320.00 KShs280.00
Kitabu hiki kinamulika mandhari yaliyo katika riwaya ya Nguu za Jadi. Kuelewa mandhari na matukio yanayotokea pale ndiko kuelewa mtiririko wa kitabu hasa. Mandhari tofauti yamejadiliwa pamoja na wahusika waliotokea humo, matukio katika mandhari hayo na umuhimu wa kila mandhari. Baadhi ya mandhari yaliyoangaziwa ni kama; Nyumbani kwa Mangwasha na Mrima, Kanisani, mahakamani, Ikulu ya Mtemi Lesulia, hoteli ya Saturn, haspitalini n.k

Msamiati wa utahini, Bembea ya Maisha...

KShs320.00 KShs280.00
Kitabu hiki kimeeleza kwa kutumia mifano msamiati inaotumika kutunga maswali ya Bembea ya Maisha na Mapambazuko ya Machweo. Kinahusisha pia maswali na majibu ikiwemo maswali ya KCSE 2023. Msamiati ulioshughulikiwa ni pamoja na; fafanua, thibitisha ukweli wa kali fulani, Linganisha, Eleza jinsi, umuhimu wa wahusika, umuhimu wa mandhari n.k

Msamiati wa Utahini, Nguu Za Jadi

KShs320.00 KShs280.00

Kitabu hiki kimejadili msamiati unaotumika katika maswali ya riwaya ya Nguu Za Jadi. Msamiati huu ni kama; Eleza/fafanua, tathmini, eleza muktadha wa, Taja sifa za mhusika, Onyesha, umuhimu wa mhusika, umuhimu wa mandhari au mazungumzo, Jadili, Changanua mtindo n.k Kuna maswali na majibu ya riwaya ya Nguu za Jadi ili kusaidia mwanafunzi kuelewa matumizi ya msamiati huu.

Msamiati wa utahini, sarufi na matumi...

KShs300.00
  • Kitabu hiki kinafafanua msamiati unaotumika katika mitihani ya kiswahili...102/2 Ili mwanafunzi aelewe na kufasili swali, ni lazima auelewe msamiati uliotumika. Msamiati uliojadiliwa ni kama: Ainisha, Bainisha, Yakinisha, Tofautisha, Tunga, Linganua, Andika upya, Sahihisha n.k Aidha, maswali ya KCSE 2010-2023 yamo kulingana ma kila msamiati.
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account