Mshale wa Matumaini ni novela iliyoandikwa na Prof.John Habwe. Ni hadithi ya huzuni na pia ya kusisimua inayoonyesha jinsi vita vya kikabila huathiri watu wengi hasa vijana. Mwongozo huu utawasaidia walimu,wanafunzi na pia wasomi wengine katika uchambuzi wa novela hii. Mwandishi amejadili kwa kina dhamira ya mwandishi, maudhui ,wahusika na mbinu za uandishi. Mwongozo huu pia una maswali ya kudurusu.
Vendor Biography