Rutere Shenver

Rutere Shenver

  • No ratings found yet!

THE BEADS OF DOOM by Rutere Shenver

KShs800.00
"You must return this amulet as soon as possible . You will bring it back yourself just as you took it. And be very careful Sultan Sufi; you can take this as a warning. Failing to return my amulet will bring you nothing but doom to your lineage..." 'The Beads of Doom' is a story of a royal ancestral amulet that unfolds catastrophic occurrences among kingdoms.

KISASI BARIDI by Rutere Shenver

KShs550.00
KISASI BARIDI ni riwaya ambayo baadhi ya wahusika wake wanasaka kisasi kwa kuti na mauti. Wana hamu ya kulipiza kisasi kikiwa kingali moto kisije kikapoa na kuwa baridi.

IMARISHA SARUFI by Rutere Shenver

KShs550.00
  1. IMARISHA SARUFI ni kitabu kinachoangazia mada zote za sarufi ya kiswahili katika shule za upili kwa njia rahisi na ya kuvutia. Stadi zote za utunzi wa sarufi katika karatasi ya pili (102/2) zimesawiriwa Kwa undani. Zifuatazo ni sifa zinazokipa kitabu hiki upekee wa hali ya juu: 1. Kimeangazia vipengele vyote vya utahini wa karatasi ya pili kwa njia rahisi. 2. Kina michezo ya visanduku inayowatia wanafunzi ari ya kusoma huku wakicheza. 3. Kina kamusi ya misamiati ibuka pamoja na tafsiri zake kwa kingereza. 4. Kina mazoezi mengi baada ya kila mada ndogo. Aidha, kina mitihani ya vielelezo pamoja na miongozo ya kusahihisha.

IMARISHA USHAIRI by Rutere Shenver

KShs500.00
Utafiti umedhihirisha kuwa matokeo ya ushairi wa kiswahili miongoni mwa wanafunzi umekuwa ukidorora siku baada ya siku kutokana na madai kuwa ushairi ni utanzu mgumu ulio na istilahi nyingi tatanishi. IMARISHA USHAIRI ni kitabu kinachochanganua ushairi wa kiswahili kwa njia rahisi na ya kuvutia. Kimefafanua ushairi kwa kina na kutoa vielelezo vya kutosha. Isitoshe, kimekusanya msururu wa mitihani ya kitaifa; maswali pamoja na majibu

MALIKI by Rutere Shenver

KShs450.00
  • Maliki ni drama iliyojaa makeke yanayosababishwa na pupa ya viongozi ya kutwaa hatamu za ufalme wa Makokoo. Kwa upande wa pili kunao wahusika wanaopinga juhudi hizi ili ufalme huu usiangukie mikononi isiyostahili. Mvutano huu unasababisha uhasama na vifo vingi.

USHANGA by Rutere Shenver

KShs550.00
  • Ushanga ni riwaya inayosimulia kuhusu safari ya kusaka ushanga wa adhama kubwa wa kifalme ambao unazua mtafaruku mkubwa na kuchonganisha falme nyingi. Kupotea kwa ushanga huu kunasababisha matatizo si haba.
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account