Author: Assumpta Matei
ISBN: “9789914445510”
0794 233 261
KShs916.00
Nuria Ranking: #1 in ReferenceFani ya Fasihi Simulizi kwa Gredi ya 7, 8 na 9 kimeandikwa kwa utaalamu mkubwa ili kufanikisha kikamilifu ufundishaji na ujifunzaji wa fasihi simulizi katika kiwango hiki. Kitabu hiki kimeshughulikia kwa kina na kwa njia ya wazi na nyepesi tanzu na vipera vya fasihi simulizi katika mtaala wa Gredi ya saba hadi Gredi ya Tisa.
n
nKatika kitabu hiki, utapata:
n
n
n
n
n
n
n
n
n
n
nDkt. Assumpta K. Matei ni msomi mwenye tajriba pana katika masuala ya elimu, utafiti, ufundishaji na tathmini. Ana uzoefu mkubwa katika ufundishaji wa Isimu, Lugha na Fasihi ya Kiswahili nchini Kenya. Baadhi ya vitabu alivyoandika ni pamoja na: Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili na Zawadi ya Thamani (novela). Vilevile, amashirikiana na wengine kuandika vitabu kama vile: Jipe Moyo (Diwani ya Mashairi), Kamusi ya Watoto na Upeo wa Ufahamu na Ufupisho.
Author: Assumpta Matei
ISBN: “9789914445510”
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account