Author:Â Shullam Nzioka
ISBN:Â “9789914442854”
0794 233 261
KShs330.00
Nuria Ranking: #3 in ReadersTumalize anashangazwa na hatua ya baba yake kuwapa kitu fulani, watu fulani, kila siku asubuhi anapoenda shuleni. Kitendo cha baba yake kinamtia mshawasha wa kutaka kujua ni kitu gani hicho wanachopewa watu wale. Juhudi zake za kutafuta maelezo kutoka kwa baba yake kuhusu kitu hicho na sababu ya yeye kukitoa kwa watu wale zinagonga mwamba. Kwa sababu hiyo, anaapa kufanya juu chini ill apate kujua kitu hicho, na sababu inayofanya watu wale wapewe kitu hicho.
n
nJe, Tumalize atapata kujua kitu hicho wanachopewa watu hao? Je, atafanya nini ili kubaini kitu hicho? Je, ni nini kitatokea atakapopata kugundua kitu chenyewe?
n
nTwala Wapi Leo? ni kisa cha kusisimua cha kiupelelezi. Kisa hiki kinaangazia masuala ya malezi, elimu, ufisadi, ujasiriamali miongoni mwa masuala mengine katika jamii. Kisa hiki kimesheheni mbinu na mitindo mbalimbali ambayo itamfaidi mwanafunzi katika kujenga ubunifu wake na vilevile lugha yake.
n
nKuhusu mwandishi
n
nShullam Nzioka ni mwandishi, mfasiri, msawidi na ashiki wa lugha ya Kiswahili. Ameandika kazi mbalimbali za fasihi, zikiwamo novela, hadithi fupi na hadithi za watoto. Kitabu chake, Mbona Hivi? kilishinda tuzo ya Jomo Kenyatta Prize for Literature kitengo cha kijana mnamo mwaka wa 2021. Baadhi ya kazi zake zilizowahi kuchapishwa ni pamoja na Si Kitu na Shani ya Saa (hadithi fupi) iliyo katika kitabu Utashi wa Dola. Mbali na hayo, amewahi kufanya kazi katika shirika la International Bible Students Association.
Author:Â Shullam Nzioka
ISBN:Â “9789914442854”
The day King Kong and I were kidnapped started off like any other Saturday."
So writes Moses, Uganda's most notorious schoolboy, at the start of his yet another wild adventure.
The deputy headmaster, Mr Karanja, has decided that the two friends must have their hair cut. They spend a pleasant morning in town, enjoying the freedom from Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen - until a sleek Mercedes Benz appears and their 'holiday' comes to an abrupt end. Their hairstyle thrusts them deep into the criminal underworld and they only escape being sold into slavery by the skin of their teeth.
This is the fourth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account