NDOTO NI NINI ?
Ndoto ni lugha katika picha juu ya mambo yaliyopita, mambo yanayoendelea katika maisha yako. au mambo yanayokuja katika maisha yako,watu wengi sana huwa wanaota.
Katika Biblia neno NDOTO limeandikwa kama mara 68 hivi; kwenye Mwanzo pekee lipo mara 33 na kwenye kitabu cha Nabii Daniel mara 27 na kwa Agano Jipya linaonekana mara 8 pekee.
Biblia inaonesha mifano ya watu wengi wa MUNGU walioota ndoto.Ni “watu wawili pekee” ndiyo ambao wametajwa “kufasiri NDOTO” ambao ni:
I. Yusufu
II. Daniel
Maana ya ndoto;
Ndoto ni lugha katika picha juu ya mambo yaliyopita, mambo yanayoendelea katika maisha yako. au mambo yanayokuja katika maisha yako
Mtu anaweza kuota witu vilivyoko duniani wanyama waliopo duniano na vitu vya kawaida vilivyopo duniani au vitu vilivyoko mbinguni,
Mambo ya yasiyo dhahiri yaani yanakuwa katika hali ya mawazo au picha yanayotokea katika ufahamu au kichwani kwa mtu anapokuwa amelala usingizi wakati wa mchana au usiku; Haya ni mambo ya ajabu, mara nyingi hayapo katika ulimwengu wa kawaida.
QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.