Mwangwi Wa Maisha ni diwani ya mashairi iliyoandikwa na malenga chipukizi Bwana Edward Ombui Almaarufu Malenga Mdogo. Mashairi haya yamesukwa kwa ufundi wa hali ya juu yakirejelea bahari tofauti na mbinu mbalimbali za lugha na uandishi. Sitaki kusema sana kwani mengi utayagungua wewe mwenyewe.
Mwangwi Wa Maisha imeshughulikia maudhui mbalimbali kama vile:- siasa, dini, ulemavu, jinsia, uchumi, ulitima, uongozi, ukabila, mapenzi, mazingira, ndoa, elimu, utendakazi na mambo mengine mengi.
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.