African Ink Publishers
African Ink Publishers

African Ink Publishers

  • No ratings found yet!

SIKU ZA MWIZI by TIMOTHY SUMBA Grade 1

KShs330.00 KShs299.00
Siku za Mwizi ni kitabu cha wanafunzi wa gredi za chini katika shule ya msingi. Kazi bunilizi hii inazingatia mahitaji yote ya mfumo mpya wa elimu (mtalaa wa umilisi) kama vile ujenzi wa masuala mtambuko. Utajiri mkubwa wa yaliyomo ni burudani katika lugha sanifu na msamiati teule ambao umeshiba mafunzo kemkemu ya maadili. Visa sisimuzi vimesukwa ili kumpa mtoto ilhamu ya kutaka kujua zaidi na kumjengea uraibu wa kusoma kwa ufasaha. Mwizi amezoea kuiba. Mwizi ni nani? Aliiba nini? Wapi? Vipi? Je, siku za mwizi zitafika? Mwandishi wa kitabu hiki, Timothy Omusikoyo Sumba ni mtaalamu wa saikolojia na fasihi ya watoto. Ameandika vitabu chungu nzima ambavyo vimeidhinishwa na Taasisi ya Kukuza Mitaala ya Kenya (KICD) pamwe na Research Triangle International (RTI).
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account