African Ink Publishers
African Ink Publishers

African Ink Publishers

  • No ratings found yet!

Mwendo Wenye Busara

KShs750.00 KShs650.00
Baada ya kuchinjwa, matumbo hukaguliwa na iwapo hakuna ishara yoyote ya ugonjwa, sherehe hutangazwa kuwa njema. Iwapo kondoo atapatikana na ishara ya ugonjwa, hii ikiwa nadra kwa kuwa umakinifu uliwekwa unapochaguliwa, mwingine hutakaswa na kuchinjwa tena. Rafiki zake bwana harusi wanapopeana habari njema, wazazi na wale kina mama wa ubatizo hunyunyiza maziwa na pombe… * Riwaya hii ni ya kihistoria ya jamii ya Wanandi. Inamulika masuala ainati ya asili katika utamaduni na mila zao. Namna jamii ya Wanandi ilivyojisuka na kujitawala katika uongozi, imani na matumaini katika maisha yao na majukumu yao katika kujikidhia matakwa ya kimsingi katika maisha. Riwaya hii ni mfano bora wa kazi zinazosimulia utamaduni wa Mwafrika na mfumo wa kujikuza na mielekeo ya maisha.

Najivunia Kuwa Mnandi Na Ishamel Rono...

Dau lazama na Kulei G. Serem

KShs600.00 KShs450.00
Dau Lazama inatoa picha halisi ya mambo yanayoendelea katika jamii hususan katika bara la Afrika. Walalahoi katika taifa la Ngomeni wanapitia madhila yasiyo na kifani kutoka kwa walio na mamlaka ya dola. Ni bayana kwamba uongozi katika taifa hili ni wa kiimla. Tembo anatumia mbinu kali kuwakaandamiza wapinzani wa sera zake. Vilevile pana asasi muhimu za jamii kama vile dini, zinazofaa kuyanyosha maadili katika jamii ila sivyo katika taifa la Ngomeni: Mchungaji Kombo anauunga mkono ukoloni mamboleo na kushirikiana nao. Si hayo tu, siri kubwa inayozingira maisha ya kijana Bahati kuihusu usuli na hatima yake ya maisha inateka bakunja nadhari ya msomaji.
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account