Janet Opiyo

Janet Opiyo

  • No ratings found yet!

KAGA by Janet Opiyo

KShs700.00
Novela ya Kaga inaangazia msichana Saida Jitihada ambaye anafikwa na mengi maishani. Hayati baba yake mzazi, Bwana Sanifu Jitihada , mwalimu mashuhuri wa lugha ya Kiswahili anagonga vichwa vya habari kwa usanifu na ubunifu wake. Saida anampoteza mama yake siku ya kutangazwa matokeo yake katika mtihani wa kitaifa. Binti Jitihada anajitoma katika huba na Siti Mlungwi, mjukuu wake Bwana Hasidi. Hasidi mkubwa wa aila ya Jitihada. Je, Saida ataweza kukabiliana na changamoto hizi na kusimama imara dhidi ya upinzani unaoikumba familia yake?
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account