NDOTO NI NINI ?
Ndoto ni lugha katika picha juu ya mambo yaliyopita, mambo yanayoendelea katika maisha yako. au mambo yanayokuja katika maisha yako,watu wengi sana huwa wanaota.
Katika Biblia neno NDOTO limeandikwa kama mara 68 hivi; kwenye Mwanzo pekee lipo mara 33 na kwenye kitabu cha Nabii Daniel mara 27 na kwa Agano Jipya linaonekana mara 8 pekee.
Biblia inaonesha mifano ya watu wengi wa MUNGU walioota ndoto.