

QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261
KShs1,200.00
Nuria Ranking: #45 in Kiswahili ReadersIn stock
Rais Abubakar Bunende wa Jamhuri ya Watu wa Stanza anakula kiapo cha kuwa Rais na kuwahakikishia kuwa wakati huu serikali ya Stanza itasimama kidete kutetea rasilimali za Stanza kuwanufaisha wananchi waliogubikwa na wimbi kubwa la umaskini.
Bunende anaamua kubadili baadhi ya sera na mifumo ili kutekeleza azma hiyo lakini anakuja kugundua mambo siyo rahisi hivyo alivyofikiria kwani anakutana na upinzani mzito wa ndani na nje kuzuia hayo anayotaka kufanya kwa sababu yanaingilia maslahi yao. Bunende anapojaribu kutaka kushindana nao wanamuua.
Makamu wa Rais Bi. Mai Fabiola anachukua nchi huku akitaka kuendeleza sera za mtangulizi wake nae anafanyiwa jaribio la kuuawawa. Haamini, anachanganyikiwa.
Afisa mmoja mwanamama wa Usalama wa Taifa aitwaye Hidaya anaamua kuingia mbele na kutafuta nini mzizi wa mauaji ya Rais Bunende na jaribio la Rais Mai. Nani anahusika ili ammalize.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.