Title: Likizo Mashambani
Series: Hadithi za Kiafrika
Author: Toroitich Patrick Yegon
Target Readers: Class 5,6,7,8
Hadithi hii inasimulia matukio aliyoyapitia Shani alipozuru kijijini Kaplelekwo wakati wa likizo ya Aprili. Katu Maishani Shani hakuwahi kutarajia kuwa angewahi lia kwa kuondoka Kaplelekwo kama alivyofanya siku hiyo alipokuwa akienda kuabiri gari lililokuwa likimngoja.