Title: Afuata Mkondo Mbaya
Author: Toroitich Patrick Yegon
Target Class: Teenage Readers From Class 7
Badu, kijana mwenye umri mdogo anaamua kutoroka kuwachia masomo katika darasa la sita na kwenda mjini kutafuta maisha mapya. Afuata Mkondo Mbaya ni hadithi ya Kupendeza iliyojaa sadfa na matukio yenye kutambua ukweli wa kusikitisha. Mwandishi ametumia ploti sahili na kuzungumzia matukio kwa lugha sahili inayofanya hadithi kuvutia Zaidi. Masimulizi yake yanadhihirisha uovu unaondelezwa na vijana, Badu akiwa mfano wa vijana waliopotokwa na nidhamu katika jamii. Hii ni hadithi adhimu.