Haya ni "MAISHA YA MJINI" yenye wingi wa misururu ya visa na mikasa...Ndilo VUMBA hilo la maisha! Au ni SHOMBO? Litatakaswa na nani? JE, TUFANYEJE? Safari inang'oa nanga sasa. Safari yenye pandashuka ya maisha. Haya mjukuu wangu! keti kitako, ubwabwa koponi, kitabu mkononi!