Vumba by Hassan Mwana wa Ali

-14%

Vumba by Hassan Mwana wa Ali

KShs700.00 KShs600.00

Purchase this product now and earn 6 Points!

Haya ni “MAISHA YA MJINI” yenye wingi wa misururu ya visa na mikasa…Ndilo VUMBA hilo la maisha! Au ni SHOMBO? Litatakaswa na nani? JE, TUFANYEJE? Safari inang’oa nanga sasa. Safari yenye pandashuka ya maisha. Haya mjukuu wangu! keti kitako, ubwabwa koponi, kitabu mkononi!

Availability: In stock

Description

Haya ni “MAISHA YA MJINI” yenye wingi wa misururu ya visa na mikasa…Ndilo VUMBA hilo la maisha! Au ni SHOMBO? Litatakaswa na nani? JE, TUFANYEJE? Safari inang’oa nanga sasa. Safari yenye pandashuka ya maisha. Haya mjukuu wangu! keti kitako, ubwabwa koponi, kitabu mkononi!

1 review for Vumba by Hassan Mwana wa Ali

 1. 5 out of 5

  Kemboi Brendan Brian

  Naipenda nakala hiki sana maana sio tu kuelimisha pia inazungumzia maudhui kadhaa ikiwemo UFISADI, TALAKA,ELIMU KUPUUZWA N.K.

  Nashukuru pia NURIA STORE for being reliable and honest online shop.

Add a review

Vendor Information

 • Store Name: Mucemi Gakuru
 • Vendor: Mucemi Gakuru
 • Address: Chania Avenue
  Nairobi
  Nairobi County
  00200
  Kenya
 • No ratings found yet!
You've just added this product to the cart: