Ngiri ni mganga anayewapenda wanyama wenzake.anafanya safari za kuchosha msituni kutafuta dawa za kuwatibu.katika moja ya safari hizi anapoteza vikapu viwili vya dawa anapolala kidogo kupumzika.kwa msaada wa bundi anawahi kugundua ni nani mwizi.Nyani.Wote wawili wanafanya ujanja mpaka wanazipata dawa hizo .Wa mbele kunuifaika ngiri anapofika nyumbani ni nyani,ambaye anachekelewa na wanyama wenzake kwa utundu wake.Hii ni moja kati ya hadithi tatu zilizomo kwenye kitabu hiki
QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.