Najivunia Kuwa Mnandi Na Ishamel Rono Nicodemus

-13%

KShs750.00 KShs650.00

Baada ya kuchinjwa, matumbo hukaguliwa na iwapo hakuna ishara yoyote ya ugonjwa, sherehe hutangazwa kuwa njema. Iwapo kondoo atapatikana na ishara ya ugonjwa, hii ikiwa nadra kwa kuwa umakinifu uliwekwa unapochaguliwa, mwingine hutakaswa na kuchinjwa tena. Rafiki zake bwana harusi wanapopeana habari njema, wazazi na wale kina mama wa ubatizo hunyunyiza maziwa na pombe…
*
Riwaya hii ni ya kihistoria ya jamii ya Wanandi. Inamulika masuala ainati ya asili katika utamaduni na mila zao. Namna jamii ya Wanandi ilivyojisuka na kujitawala katika uongozi, imani na matumaini katika maisha yao na majukumu yao katika kujikidhia matakwa ya kimsingi katika maisha. Riwaya hii ni mfano bora wa kazi zinazosimulia utamaduni wa Mwafrika na mfumo wa kujikuza na mielekeo ya maisha.

Purchase this product now and earn 7 Points!

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Najivunia Kuwa Mnandi Na Ishamel Rono Nicodemus”

Vendor Information

  • Store Name: African Ink Publishers
  • Vendor: Kelvin Omondi
  • Address: Nairobi
    Nairobi County
    Kenya
  • No ratings found yet!
You've just added this product to the cart: