Huu ni mwongozo tu. Utamsaidia mwanafunzi katika ufundi wa kuchambua HADITHI fupi za diwani ya MAPAMBAZUKO YA MACHWEO. Inasisitizwa kwamba mwanafunzi asome kwa kina hadithi zote kwanza ndiposa atumie mwongozo huu. Bila hiyo ni kazi bure. Mwongozo ni ramani tu. Msafiri asipofunga safari, hafiki popote.
Wema hukuza mema, mikosi na tufani za maisha zilimnyang'anya Stella wazazi. Akajikutamikonono mwa wenyeji walalahoi. Nap wakamuani. Hatua kwa hatua alipanda ngazi kwa usaidizi wa kijana Ombaomba. Akawa awika ndani na nje ya nchi kupitia talanta yake.
The narrator takes us through the comic extremities of his sojourn in the lakeside city of Kisumu, where he meets Mr. Okello, his late father's friend. Okello's entertaining reception sheds light on the systems on the ground that leaves one in stitches.
Hii ni diwani ya HADITHI kumi na tatu za kusisimua. Kila HADITHI imejadili maswala. mbalimbali lakini kwa lugha rahisi inayoeleweka haraka na kutumbuiza. Kila HADITHI ichambuliwe kivyake
TUNDA ni diwani ya mashairi mia Moja, yaliyotungwa kwa kufuata arudhi na pia Kuna mashairi huru mle. Mashairi haya mbali na kutumbuiza, yamejadili maswala mbali mbali katika jamii kwa njia inaelimisha na kutumbuiza
This is a collection of scintillating motivational essay whose purpose is to inspire and I still self- confidence in the journey and search for wholesome success.
Riwaya hii inasimulia vituko vya Biandis katika Jimbo la Aboke, aliyedai kuwa ni walii wa Mungu. Hulka zake lakini zilikiuka kaida za uwalii wa Mungu. Wazee wakabaki kuduwaa.