QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261
KShs549.00 KShs449.00
In stock
Hadithi hii ya Nizike Sijafa ina mnato na mvuto wa aina yake, imekolezwa uhalisia wa maisha katika siku hizi na dunia ya sasa. Mwandishi anasimulia jinsi mwanadamu anavyothamini mfu na kuyapa hadhi kubwa maziko kinyume na anavyomtunza na kumthamini mwenzake awapo hai.
Je, Salama Makori atafaulu katika azimio lake la kuihamasisha jamii kuikumbatia methali isemayo udugu ni kufaana wala si kufanana? Je, Salama atapata afueni na kuishi maisha yenye furaha, licha ya umasikini wa sina sinani unaomwandama na kutishia kulizamisha dau la matumaini yake kila uchao? Soma ufaidi!
*
Mwandishi wa kazi hii ni Darius Makokha. Darius Makokha ni mwandishi ambaye ameibuka kuwa stadi mno katika sanaa ya utunzi wa hadithi za Kiswahili. Halima Apaa Angani na Nizike Sijafa ni mojawapo ya kazi ambazo amezikamilisha. Kwa sasa ni mwalimu wa somo la Kiswahili katika shule tajika ya Mekaela Likunda, mojawapo ya shule za Mekaela Academies – Kwale.
The Guy Who Fired His Boss is a book you must need to read if you are starting a new business or building one. It has helped many entrepreneurs find their space and given others the courage to start. Those who have been in business they have had their motivation renewed and those who feel lost rediscover the direction of their business.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Vellestic James –
Kitabu chenye uzuri na uketo wa aina yake wa mawazo🤗