QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261
KShs500.00 KShs449.00
In stock
“Tunakuona ulipo! Tazama mbele kabisa, utaona gari jekundu, aina ya Toyota Vitz. Njoo utanipata ndani. Kumbuka, tukiona unafuatwa, gari litaondoka!”
Mwamba anajipata katika kinamasi cha maisha. Katika harakati za kumtafutatafuta baba yake akisaidiwa na Bigi, ananaswa na utando wa kundi haramu la kigaidi. Je, atajinasua? Atampata babaye ili aje awaondolee ukata unaowatafuna?
Mguu Niponye! Ni novela inayohusu malezi, itikadi kali, elimu, uzalendo, ushawishi wa marika na athari za mitandao ya kijamii. Hadithi hii inawalenga wanafunzi wa kiwango cha sekondari, wa shule za msingi na wasomaji wa kawaida.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.