African Ink Publishers
African Ink Publishers

African Ink Publishers

  • No ratings found yet!

The Child is Black By Sr. Esther Jeru...

KShs600.00 KShs549.00
The Child is Black is a poetry collection of sixty poems that date back to over a decade ago written with a feminine touch while didactically instigating values, philosophizing life as well as entertaining readers by means of mnemonic effects and subtle humor. The writer takes on various personae so as to effectively and limitlessly speak. The poet (author) is currently a teacher of English at St. Georges Girls Eldoret. She is a graduate of The Catholic University of Eastern Africa (Summa Cum Laude) and a part time post Graduate student of Mount Kenya University Thika. She is also a Catholic nun belonging to the congregation of Franciscan Sisters of The Immaculate Conception, Kenya Region.

Mwongozo wa Bembea ya Maisha na Vienn...

KShs350.00 KShs300.00
Mwongozo huu bambam wa Bembea ya Maisha unadadavua mengi muhimu kuhusu tamthilia iliyoandikwa na Timothy Arege. Kitabu hiki kimeweka paruwanja vigezo muhimu kwa kuzingatia mahitaji ya mwanafunzi hususan mtahiniwa. Lugha sahili na sanifu imetawala ili yaliyomo yaeleweke fika. Wanafunzi wanashauriwa kusoma kitabu chenyewe kwanza kabla ya kuja tu kuthibitisha katika mwongozo hatimaye. Maswali ya dondoo huhitaji uelewa mkubwa wa mtiririko wa mambo. Madhumuni ya mwandishi ni kukidhi mahitaji ya msomaji kwa kumrahisishia mtiriko wa vitushi, dhamira, maudhui, tabia na sifa za wahusika, mandhari, mbinu za kimtindo pamwe na vielelezo vya maswali ambayo aghalabu hutahiniwa katika mijarabu na mtihani. Mwandishi wa mwongozo huu, Vienna Namweyi Wanaswa ni mwalimu mweledi wa fasihi katika shule ya upili ya Newlight Seniors School, Nairobi na anafahamu fika mikondo ya utahini.

Mwendo Wenye Busara

KShs750.00 KShs650.00
Baada ya kuchinjwa, matumbo hukaguliwa na iwapo hakuna ishara yoyote ya ugonjwa, sherehe hutangazwa kuwa njema. Iwapo kondoo atapatikana na ishara ya ugonjwa, hii ikiwa nadra kwa kuwa umakinifu uliwekwa unapochaguliwa, mwingine hutakaswa na kuchinjwa tena. Rafiki zake bwana harusi wanapopeana habari njema, wazazi na wale kina mama wa ubatizo hunyunyiza maziwa na pombe… * Riwaya hii ni ya kihistoria ya jamii ya Wanandi. Inamulika masuala ainati ya asili katika utamaduni na mila zao. Namna jamii ya Wanandi ilivyojisuka na kujitawala katika uongozi, imani na matumaini katika maisha yao na majukumu yao katika kujikidhia matakwa ya kimsingi katika maisha. Riwaya hii ni mfano bora wa kazi zinazosimulia utamaduni wa Mwafrika na mfumo wa kujikuza na mielekeo ya maisha.

Najivunia Kuwa Mnandi Na Ishamel Rono...

KShs750.00 KShs650.00
Baada ya kuchinjwa, matumbo hukaguliwa na iwapo hakuna ishara yoyote ya ugonjwa, sherehe hutangazwa kuwa njema. Iwapo kondoo atapatikana na ishara ya ugonjwa, hii ikiwa nadra kwa kuwa umakinifu uliwekwa unapochaguliwa, mwingine hutakaswa na kuchinjwa tena. Rafiki zake bwana harusi wanapopeana habari njema, wazazi na wale kina mama wa ubatizo hunyunyiza maziwa na pombe… * Riwaya hii ni ya kihistoria ya jamii ya Wanandi. Inamulika masuala ainati ya asili katika utamaduni na mila zao. Namna jamii ya Wanandi ilivyojisuka na kujitawala katika uongozi, imani na matumaini katika maisha yao na majukumu yao katika kujikidhia matakwa ya kimsingi katika maisha. Riwaya hii ni mfano bora wa kazi zinazosimulia utamaduni wa Mwafrika na mfumo wa kujikuza na mielekeo ya maisha.

Ndoa Ya Patashika Na David Ochola

KShs750.00 KShs650.00
Ni mzazi kindakindaki. Ameniondolea janaa ya kuitwa mwana msi baba. Sasa nayafurahia mazingira matulivu. Yote ni kwa neema. Ile ndoa ya patashika baina ya Patashika na mama ikanitoka kabisa. Nikawa nimepoa na kutulia katika… Ndoa ya Patashika ni riwaya inayoangazia masuala tata yanayojitokeza katika ndoa. Aghalabu, kila ndoa huwa na changamoto zayo na ndiye maana mwandishi ameyaweka tashtiti mambo yanayowaudhi wahusika katika ndoa zenye hali hizo.

Dau lazama na Kulei G. Serem

KShs600.00 KShs450.00
Dau Lazama inatoa picha halisi ya mambo yanayoendelea katika jamii hususan katika bara la Afrika. Walalahoi katika taifa la Ngomeni wanapitia madhila yasiyo na kifani kutoka kwa walio na mamlaka ya dola. Ni bayana kwamba uongozi katika taifa hili ni wa kiimla. Tembo anatumia mbinu kali kuwakaandamiza wapinzani wa sera zake. Vilevile pana asasi muhimu za jamii kama vile dini, zinazofaa kuyanyosha maadili katika jamii ila sivyo katika taifa la Ngomeni: Mchungaji Kombo anauunga mkono ukoloni mamboleo na kushirikiana nao. Si hayo tu, siri kubwa inayozingira maisha ya kijana Bahati kuihusu usuli na hatima yake ya maisha inateka bakunja nadhari ya msomaji.

A FLAME OF PASSION AND OTHER POEMS by...

KShs800.00 KShs650.00
A Flame Of Passion and Other Poems’ have a thrilling conversation with each other on various contemporary issues of life and nature, which evokes different emotional dispositions while immersing the reader in a thrilling literally voyage of how human emancipatory spirit stubbornness lucidly emerges in every other time humane aspects are threatened in various ways: Human will to fight and protect humane psyche from adversaries whether surreal or real while appreciating the beauty of life and nature. The common thread running through the poems is passion: stoking the flame of struggle, awe and thrill of every situation of experience and nature humans find themselves in. About the author Titus Mūrīīthi wa Mūturi is successfully an alumnus of Ndaguma Primary School, in Mbeere South, Embu. St.Thomas Moore Nguviu Boys' High School, Embu and Kenyatta University with a Bachelor of Education (Arts) (Hons.), he also enrolled in Masters of Arts (Population Geography) course at the same university. He has taught geography and CRE at various secondary schools such as St. Christopher Nembure Secondary School, Itabua Day Secondary School; both in Embu County and currently teaching and doubles up as the Director of Studies(Dean) at Kiandai Mixed Day Secondary School in Kirinyaga East Sub-county, Kirinyaga County. He is also the Coordinator of Kirinyaga East Central Zone Strategic Alliance panel of geography examiners.

Declare Your Interest by Hamisi Wawire

KShs750.00 KShs650.00
Fazul, a young and ambitious teacher gets into an undeclared love relationship with the new madam Fatim. What follows is emotional twists and turns that not only leave readers glued but also carry them into the world of the protagonist: Fazul, with betrayals, hypocrisy, suffering and perseverance, one thing stands out: truth will always triumph. By Hamisi Wawire.

Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo by...

KShs450.00 KShs350.00
Mwongozo wa Mapambazuko ya Machweo na hadithi nyingine Waswahili husema cha mwenzako kikinyolewa chako tia maji. Kanseli imebadili mitindo ya utahini nasi sharti tubadili namna ya kuwaelekeza watahiniwa ili chombo kisiende mrama. Maswali ya karne ya 21 yanadhihirisha utahini wa stadi za umahiri na umilisi wa kazi ya fasihi na si kuiga tu kikasuku. Mitihani ya kitaifa siku hizi inaegemea maswali yanayohitaji uwazaji wa kina, umilisi wa fasihi, usanisi au mbinu telekezi katika nadharia ya Bloom. Maswali ya kale ya maudhui na wasifu wa wahusika hayajitokezi kwa wingi kwani mtihani unalenga ufahamu mpana wa vitushi na msuko na si ufahamu wa kijuu juu tu. Nakala hii ni mwongozo adhimu na aula kwa mwanafunzi na mwalimu wa shule ya upili kwani inaweka parauwanja maswala mbalimbali kama vile; Umuhimu wa ploti, umuhimu wa mandhari, umuhimu wa usimulizi, mtindo na mwingiliano matini wa vipengele mbalimbali. Nasadiki na kuamini mambo yatatengemea baada ya kupata nakala hii kwani kinolewacho hupata. Mwandishi ni Shehe Mutwiri mwanafunzi wa shahada ya uzamifu (PhD) na mwalimu mweledi wa Kiswahili anayefahamu mahitaji ya hadhira lengwa
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account