QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261
KShs350.00 KShs300.00
In stock
Nzi-Mtoto alizaliwa kwa Nzi-Chifu na akawa mlafi sana, hadi wakamwita Nzi-Mlafi. Alionywa mara nyingi kupunguza ulafi lakini kila mara alitawaliwa na tamaa. Mwishowe, aliuawa na kiasi kikubwa cha chakula alichokula.
Kitabu cha Nzi Mlafi kinaeleza zaidi kuhusu tabia nzuri kwa watoto. Kinaonyesha madhara yatakayompata
mtu asiyekua na maadili mema. Vilevile kinaelimisha, kinaburudisha na kuadilisha.
Mzee Kambirani na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazolenga hadhira ya wanafunzi, wasomaji wa kawaida na wataalamu wowote wale. Huu ni mkusanyiko unaowaleta pamoja waandishi walio na viwango vya juu vya ubunifu na ukwasi wa lugha. Hadithi zilizomo kwa ujumla zinagusa nafasi na nafsi ya msomaji. Bila shaka, msomaji yeyote wa mkusanyiko huu atagundua kuwa waandishi wake ni wenye uwezo mkubwa katika utunzi, fauka ya kuwa wengine wao wanalimbukia fasihi andishi. Naam, ulimbukeni wao umeleta sura ngeni katika ulimwengu wa fasihi andishi.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.