Showing 1–20 of 37 results

Umilisi wa FASIHI SIMULIZI by Martin ...

KShs600.00
Best Fasihi Simulizi book in teaching kiswahili literature

Dau la Angelika

KShs1,250.00
Umetia doa taadhima na sifa njema ya Klabu Sambe na Jambe kwa kujifanya kinyaunyau wa kuwatia meno na kucha wateja mashuhuri Enhe! Mwadhamu Kimbaumbau, mwasisi wa Klabu Sambe na Jambe, sikusudii jeuri, lakini je, una binti kweli? Angenyanyaswa... By

Ukiwa

KShs1,032.00
Hii ni hadithi ya kisasa ya mapenzi. Kijana anayesomea Digrii kwenye chuo kikuu anapata simu kuwa mpenzi wake amekufa. Hapo anaanza kurudi nyuma na kutazama maisha yao yalivyokuwa na marehemu ili aweze kuivuja kasi huzuni aliyonayo. Hadithi hii... By

Mbaya Wetu by Ken Walibora

KShs490.00
Mbaya Wetu ni tamthilia ya kijamii inayoangazia kitashtiti suala la malezi. Tamthilia hii inamulikia kurunzi taasisi ya familia, vyombo vya dola na jamii kwa jumla na kufichua utepetevu katika utekelezaji wa majukumu ya kimsingi. Matokeo ya... By Ken Walibora

Nagona

KShs887.00
Nagona ni riwaya inayothibitisha upevu wafalsafa ya Kezilahabi kuhusu dhana ya maisha. Katika riwaya hii. maisha vanasawiriwa katika mtazamo wa dhihaka na kejeli. Ndiyo maana mwandishi anatega kitendawili kwamba waliobahatika kuishi, ...walikufa... By E. Kezilahabi

Shamba la Halaiki

KShs1,032.00
Shamba la Halaiki ni tamthilia inayomulika hall halisi ya uongozi katika jamii inayowashangilia na kuwakashifu viongozi kwa msingi wa kikabila. Wakazi wa Mabondeni katika Jimbo la Matengo wanakumbwa na mafuriko yenye maangamizi makubwa. Halaiki,... By Spotlight Publishers

Wasakatonge

KShs974.00
Wasakatonge ni diwani yake mpya yenye hazina ya mashairi yenye kubainisha sauti kali ya utetezi kwa wavujajasho wanaonyanyaswa, kuonewa, kudharauliwa na kunyonywa nguvu zao. Ni kauli inayobainisha uoza wa jamii na athari zake kwa wanyonge. Diwani... By Oxford

Kaza Macho

KShs916.00
Kau, Macho ni mkusanviko wa mashairi yanayoonyesha upeo wa juu wa kipawa elta utunzi alichonacho intunzi wa mashairi yaliyomo. Mashairi haya yametumia lugha ya kitamathali itakayomwaehia msomaji taathira ya kudumu kwa namna yanavyozigusa hisia... By Vide-Muwa

Narejea Nyumbani

KShs1,075.00
Mtindo wa uandishi katika nafsi ya kwanza unatilia uzito uhalisia wa riwaya ya Narejea Nyumbani. Hii ni hadithi ya kuzua mjadala kuhusiana na maisha ya mwandishi, hasa kutokana na mbinu rejeshi iliyotawala kisa chote. Ni hadithi inayomsukuma... By JKF

Musa na Rafiki wa Barua

KShs1,044.00
Ari ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibis Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hilo la msisimko. Kando na hayo, Kasali — mvulana mgeni —... By Barbara Kimenye

Kosa ni la Nani

KShs1,066.00
Rashid na Amina wanatengana. Licha ya utengano huu, Amina anajifungua mwana wa kiume. Sitirika. Naye Asmin ni mke wa mkwasi fulani ambaye ni mgumba.Ana hamu ya kupata mtoto. Anajaribu bahati yake nje ya ndoa ambapo anakutana na Rashid. Wanajaliwa... By JKF

Nyongo Mkalia Ini

KShs1,206.00
Nyongo Mkalia Ini ni riwaya ya kusisimua inayosimulia ukweli wa mambo katika ulimwengu huu wetu. Mwandishi amegusia nyanja mbalimbali za maisha, hivyo basi mashabiki wa mambo kadha na kadha watavutiwa na riwaya hii. Mapenzi ya mumo, siasa zi mumo,... By Oxford

Top Literature Series: Ridges across ...

KShs1,032.00
Going home to the hut whose door is unhinged, the wails of which tear into the weary day or night every time someone walks in or goes out. Going home to tell his mother that Nduku, the lovely pole that stood holding the hut of his manhood in... By Wambua wa Kawiwe

Mkuu: Hatima ya Kubuni

KShs991.00
Wanasayansi, wanaramani mabingwa wameshindwa kutambua kilipokuwa kijiji cha Kubuni na kukiweka Juu ya uso wa dunia. Kile wanachojua ni kuwa kijiji chenyewe kilikuwepo, ila sasa hakijulikani kitovu chake. Mzee Pepo tu ndiye aliyeshuhudia kijiji... By Hamad Simai

Chozi Langu (KLB)

KShs1,120.00
CHOZI LANGU ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB. Ni hadithi inayolenga wanafunzi wa shule za upili kwa minajili ya fasihi. Je, maisha ni machozi? Huanza kwa chozi? Lazima chozi liwe... By Hezron Mogambi

Kamwe si Mbali tena

KShs1,148.00
Tambo njoo unisaidie. Nimeshalishika lile jisamaki kubwa linaloogelea huru mawinguni bila ya kumeza ndoana ... Leo limemeza ndoana ... Njoo unisaidie kulivuta jisamaki hili ... Je, sikukwambia, Tambo, kwamba kamwe si mbali tena?” Katika riwaya... By Said A Mohamed

Msururu wa Fataki: Nargisi michongomani

KShs916.00
Sadakta! Nakubali kuwa ni sharti kila mpigambizi aamini kwamba bahari haishi zinge. Kama hayo ya wanamaji utayakwepa na kuhamia nchi kavu, huko pia ni duniani; nayo dunia huleta vyema na vimbi. Hayo ndiyo anayokabiliana nayo kila mtu mwenye azma.... By Nzaro

Isimujamii kwa Wanafunzi

KShs977.00
Isimujamil kwa Wanafunzi wa Kiswahili ni kazi inayonuia kukidhi baadhi ya mahitaji ya kimsingi ya usomi wa Kiswahili katika shule za upili, vyuo vya ualimu, vyuo vikuu na taasisi zingine zinazoshughulikia lugha na mawoasiliano. Pamoja na... By "Buliba

Musaleo!

KShs858.00
Mugogo Wehu, mhudumu wa ombaomba, anajiwa na hamu va kufumbua kitendawili kisichoteguliwa. Hadithi yvake inasimuliwa sambamba na_nyingine inayosimuliwa na Mzec, kiongozi wa nchi, ambaye anapambana na wakati asiouelewa. Hii ni riwaya ilivojaa... By Wamitila

Mikononi mwa Nunda

KShs954.00
Zipo hadithi za kale, za mnyama aliyeitwa Nunda’ ambaye anaelezewa kuwa alikuwa mla watu. Watu walizichukulia hadithi hizo kama za mapokeo, zisizo na ukweli wowote. Lakini pale Nunda Mla Watu alipoibuka jijini Dar es Salaam na kuanza kuteketeza... By Mtobwa