Showing 2121–2140 of 18463 results

Narejea Nyumbani

KShs1,075.00
Mtindo wa uandishi katika nafsi ya kwanza unatilia uzito uhalisia wa riwaya ya Narejea Nyumbani. Hii ni hadithi ya kuzua mjadala kuhusiana na maisha ya mwandishi, hasa kutokana na mbinu rejeshi iliyotawala kisa chote. Ni hadithi inayomsukuma... By JKF

Zuhura na Redio ya Ajabu

KShs817.00
Vitabu vya Nyota vimetungwo kwo tengo la kuwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswohili. Lugha itiyotumiwa ni yo kuvutia na hadithi ni za kuburudisha. Zuhura ni msichana mwenye ubunifu mwingi. Angependa sana kuwa fundi... By EAEP

Uongo Uliozaa Jitu

KShs683.00
Wazazi wake Chereko wana nia moja to kwake: kumfanya mtu wa kusema ukweli daima. Ni yapi yatampata akikosa kuzingatia hili? By Phoenix

Katala na Genge la Wezi

KShs810.00
Vitabu vya Nyota vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ile yenye kuvutia na hadithi zenyewe ni za kuburudisha. Katala na Genge la Wezi ni kisa cha kusisimua sana.... By EAEP

Msuya Augua Tumbo

KShs699.00
Vitabu Vingine vya Visa na Vituko 1a. Nyumbani Kwetu – Rebecca Nandwa 1b. Shambani kwa Babu - Hassan Makombo 1c. Ajali Baharini – Hassan Makombo 1d. Kuku Mrembo - Masera Lewela 1e. Karamu ya Lina – Rebecca Nandwa 1f. Sungura na Mbweha –... By EAEP

Musa na Rafiki wa Barua

KShs1,044.00
Ari ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibis Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hilo la msisimko. Kando na hayo, Kasali — mvulana mgeni —... By Barbara Kimenye

Kosa ni la Nani

KShs1,066.00
Rashid na Amina wanatengana. Licha ya utengano huu, Amina anajifungua mwana wa kiume. Sitirika. Naye Asmin ni mke wa mkwasi fulani ambaye ni mgumba.Ana hamu ya kupata mtoto. Anajaribu bahati yake nje ya ndoa ambapo anakutana na Rashid. Wanajaliwa... By JKF

Nyongo Mkalia Ini

KShs1,206.00
Nyongo Mkalia Ini ni riwaya ya kusisimua inayosimulia ukweli wa mambo katika ulimwengu huu wetu. Mwandishi amegusia nyanja mbalimbali za maisha, hivyo basi mashabiki wa mambo kadha na kadha watavutiwa na riwaya hii. Mapenzi ya mumo, siasa zi mumo,... By Oxford

Pearson Edexcel International GCSE (9...

KShs5,400.00
Pearson Edexcel International GCSE (9-1) Geography Student Book provides comprehensive coverage of the specification and is designed to supply learners with the best preparation possible for the examination: • Written by a highly experienced... By Michael Witherick

Edexcel International GCSE (9-1) Math...

KShs5,700.00
Pearson Edexcel International GCSE (9-1) Mathematics A prepares students for the new 2016 International GCSE (9-1) Mathematics A specification. Together, Student Books 1 and 2 provide comprehensive coverage of the Higher Tier specification. This... By D A Turner

Edexcel International GCSE (9-1) Busi...

KShs5,500.00
The Edexcel International GCSE (9-1) Business Studies Student Book provides comprehensive coverage of the specification and is designed to supply students with the best preparation possible for the examination. Written by highly experienced... By Rob Jones

Edexcel GCSE (9-1) Psychology

KShs3,300.00
Pearsons resources are designed to be simple, inclusive and inspiring. Using a key question approach, such as How does your memory work? and How do others affect you?, this Student Book explores areas of human behavior and allows you to relate... By Pearson

Edexcel International GCSE (9-1) Econ...

KShs5,500.00
Edexcel International GCSE (9-1) Economicsprovides comprehensive coverage of the specification and is designed to supply students with the best preparation possible for the examination: Written by a highly experienced Economics teacher and author. Co By Pearson

Moran Wall Map of Kenya Physical ...

KShs3,700.00
This map is printed on both sides, the front is the Administrative Map of Kenya while on the back is the Physical Map of Kenya. By

War, Conflict and Play

KShs5,010.00
This informative and compassionate book challenges the negative picture of refugees and asylum-seekers portrayed in the media. Tina Hyder shows that despite the trauma that young children go through, only a small percentage need specialist help.... By Tina Hyder