Showing 4041–4060 of 19449 results

Shani katika njia panda

KShs960.00
Shani anakumbwa na furaha ya kupindukia rafiki yake, Jaki, anapomchagua kuandamana naye hadi Afrika Kusini. Mjomba wa Jaki anajitolea kugharamia ziara hiyo. Hata hivyo, mamake Shani anashuku nia ya Mjomba kumpeleka mwanawe Afrika Kusini. Mama... By Mjomba wa Jaki anajitolea kugharamia ziara hiyo. Hata hivyo, mamake Shani anashuku nia ya Mjomba kumpeleka mwanawe
Afrika Kusini. Mama anajaribu kumshawishi Shani kupuuza pendekezo hilo kwa kumwekea vikwazo. Shani aliye na hamu kuu
kwenda ug

Queen of keepy Mkali wa Dana (Queenex)

KShs760.00
Kiduchu anaonyesha kuwa wasichana wanaweza kucheza mpira wa miguu kama wanavyoweza kucheza wavulana. Lakini wakati mpira ulipodondokea nyumbani kwa Mzee Kigo, ikabidi kiduchu afanye hesabu za hasi na chanya ili aweze kupata mpira. Ubongo Kids... By Kigo, ikabidi kiduchu afanye hesabu za hasi na chanya ili aweze kupata mpira.
Ubongo Kids books help children to learn and love mathematics and science
through entertaining stories and fun comprehension activities.

KCSE Masterpiece Rev Geography F4

KShs1,150.00
Originality is our DNA This Masterpiece Geography book four consists of 11 chapters organised into units that comprehensively cover the form four KCSE syllabus. The topics have been critically analyzed and evaluated in a problem based format to... By form four KCSE syllabus. The topics have been critically analyzed and evaluated in a problem based format to act as a revision companion for the students.
The questions in each topic ha

Skyline Environmental Workbook PP1

KShs960.00
Skyline Pre-Primary 1 Environmental has been authored and prepared by experienced teachers. It is designed to help a child in attaining basic key skills. It covers the entire . Pre-Primary 1 Environmental Competency Based Syllabus as provided by... By It covers the entire . Pre-Primary 1 Environmental Competency Based
Syllabus as provided by Kenya Institute of Curriculum Development (KICD). The book has ample picture presentations to illustrate various concepts..
It offers teaching areas t

Moran Sauti Sahihi Sauti na Mazoezi y...

KShs1,044.00
Sauti na Mazoezi ya Kiswahili, Gredi 2 ni kitabu cha ziada kilichotungwa ili kumpa mwanafunzi shughuli na mazoezi ya kutosha hasa kuhusiana na sauti za Kiswahili. Mazoezi ya sauti yamepewa nafasi kubwa ili kumwezesha mwanafunzi kutambua herufi za... By kutosha hasa kuhusiana na sauti za Kiswahili. Mazoezi ya sauti yamepewa nafasi kubwa ili kumwezesha mwanafunzi
kutambua herufi za alfabeti na sauti zinazowakilishwa na herufi hizo. Utambuzi huu ni msingi muhimu katika
umilisi wa stadi za kus

Kaka Mzalendo na Genge la majambazi

KShs732.00
Vitabu vya Sayari vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha. Kaka mzalendo ni kijana jasiri. Anasikia majambazi wakipanga njama... By Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha.
Kaka mzalendo ni kijana jasiri. Anasikia majambazi wakipanga njama ya kuvamia kijiji chao. Anawahimiza wanakijiji
kupambana na genge hilo. Kisa kinachofuata ni cha kusisimua. Wanak

Clever Bird Ndege mjanja (Queenex)

KShs760.00
Kibena and Kiduchu come across a mysterious bird. She seems to only take even numbers of seeds back to her nest. Learn about odd and even numbers, and uncover the secret behind the mysterious birds ways. Kibena na kiduchu wanakutana na ndege... By Learn about odd and even numbers,
and uncover the secret behind the mysterious bird's ways. Kibena na kiduchu wanakutana na ndege mjanja anayedonoa mbegu za namba shufwa
Jifunze kuhusu namba shufwa na witirí na gundua siri ya ndege mjanja.

Premier Tusome Picha

KShs830.00
Kitabu hiki cha picha kinawajulisha wanafunzi kuhusu mazingira yao ya karibu. Picha zimepangwa kwa utaratibu ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa vyema vitu vilivyo katika mazingira. Kitabu hiki kinaweza kutumika shuleni na pia nyumbani. Pia... By kuhakikisha wanafunzi wanaelewa vyema vitu vilivyo kat

Iprimary English Fiction Anthology Ye...

KShs2,500.00
The iPrimary English Anthologies provide all the texts you need to deliver the iPrimary English lesson plans. They are presented as convinient collections of fiction and non-fiction for each Year group. By Pearson

MTP Mathematical Activities Grade 3

KShs916.00
Numeracy is a foundational skill that prepares the learner for number work, mathematics in higher levels of schooling and mathematical approaches in all aspects of life. Numeracy activities involve identification and value placement of... By

Tujo’s Crocodile 4N

KShs777.00
Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun thats built to last. Other titles for Class Four 4a Mister Todi 4b Ken Karo the Champion 4c A Shock By Other titles for Class Four
4a Mister Todi
4b Ken Karo the Champion
4c A Shocking Landing
4d Moto Farm
4e No Escape

Panda Ngazi: Mbuzi anasoma

KShs707.00
Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa... By kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu
rahisi vya kusomwa na watoto wanaoanza kusoma hadi vile vyenye ugumu kiasi vya kusomwa na w

Mazoezi ya Insha Murua kiwango 3

KShs960.00
Kabla ya kuandika insha; -Fahamu swali au mada ya insha unayoandika. Iwapo huelewi mada na ni insha ya mazoezi mwambie mwalimu mzazi au mlezi akufafanulie. -Fahamu aina ya insha au hadithi unayotakikana kuandika. - adika vidokezo vya insha hivyo. By