Showing 3041–3060 of 18465 results

Ndoto ya suki

KShs890.00
Suki huona watu kwenye runinga. Yeye pia anatamani kuingia kwenye runinga ilia atazamwe na watu. Anatafuta upenyu wa kumfikisha ndani ya runinga bila mafanikio. Je, ataingiaje ndani ya runinga? Soma ili ujue jinsi ndoto ya Suki inatimizwa. By Kibet

How the Hare lost its tail

KShs890.00
A hare steals from a hardworking farmer and his wife. Will he get away with it? By Koima

Hen who lost her special eggs

KShs890.00
The hen wants to be a mama. But she cannot find her special eggs. What will she do? What level is your reader? Try to match your child to their reading ability or slightly higher. Here are the indicators: By Nthoki

Paka onja

KShs890.00
Jumatatu asubuhi, Malit ameshindwa kuamka ili aende shuleni. Dada yake mdogo, Nashipae, anashangazwa na kulala huku kwake kwa muda mrefu. Je, ni tabia mpya ya Malit ama anaugua? Kwa kawaida, Malit ndiye humwamsha Nashipae kila siku. Nashipae anawaari By Rebecca Nandwa

Gamba apiga Ngoma

KShs910.00
Gamba anapenda kuwatazama luka na Lusi wakipiga ngoma. Gamba anapenda kuimba na kucheza. Hata hivyo, hamu yake ni kupiga ngoma. Isome hadithi hii ugundue jinsi Gamba anavyojitahidi, wakati huo huo akibarudika, kutimiza ndoto yake By Baingana

Gumba aenda Safari

KShs930.00
Gumba anachoshwa na kazi ambayo anafanyishwa na vidole wenzake kutokana na hali hil Gumba anafunga safari kwenda kuitembelea familia ya Mguu. Endelea kusoma ili ujue ni nini kilifanyika Moto wake ni wa kila aingo gani cha usomos? Tumia vigezo... By Karimi

Storymoja Know More Environmental Gra...

KShs910.00
Know More Environmental Activities Learners Workbook for Grade 2 is written in conformity to the new competence-based curriculum design to assist learners to carry out various interactive learning activities and experiences. This will, in turn,... By Musau

Storymoja Know More Kiswahili Grade 3...

KShs865.00
Know More Kiswahili Activities Kitabu cha Mwanafunzi wa Gredi 3 kimeandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye ruwaza ya mtaala mpya wa kiumilisi ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji. Shughuli zilizopendekezwa katika... By Wangira

Nyani apata funzo

KShs890.00
Nyani Mkubwa anataka kutambulika kama shujaa. Anawadhihaki wale anaokisia kwamba hawana nguvu kama zake, hususan Ndovu na Panya. Wanyama wanapokumbwa na hatari, ni nani anayeitwa kuwaokoa? Je, ni nani anayedhihirisha ushujaa wa kweli? By Muchemi

Nyungunyungu na Konokono… Utamu...

KShs930.00
Aoko and Ooko ni wanakunguru wawili wanaopenda vyakula anavyowaletea mama yao. Vyakula hivi kama minyoo, konokono na mabuu wanaonuka. Lakini wakila chakula kingi, watajifunza kuruka? Hadithi hii ya kusisimua imeandikwa kwa ukarara ili usomaji... By Millie Dok